-Valentine Barco (LB, LWB, CM) kawaaga Mashabiki wa Strasbourg huku Chelsea ikiwa imeshaingia mktaba naye wa awali kuhamia Chelsea msimu ujao
-Emanuel Emegha (Striker) naye anatarajiwa kuahamia Cheslea akitokea Starsbourg
-Giovani Quenda (RWB, RW) jana naye kafanyiwa tukio la kuagwa na Sporting Lisborn ya Ureno
-Dastan Satpayev (Striker, No 10, LW, RW) akitokea FC Kairat
Hao wachezaji wanne ni confirmed na watakuwa usajili wa kwanza wa Xabi Alonso
Chelsea wanategemea kusajili wachezaji wasiopungua wanne msimu huu wa kiangazi, ambao ni:
1) Golkipa mzoefu mmoja — Kuna kila uwezekano Mike Penders abakie Strasbourg kwa mkopo wa ziada, kwani bado hajawa tayari kuwa mlinda mlango namba moja mara moja.
Alternatives zinazowezekanaikiwa Chelsea wataamua kusajili golkipa mpya ni:
i) AC Milan’s Mike Maignan
ii) Everton’s Jordan Pickford
iii) Atalanta’s Marco Carnesecchi
iv) FC Porto’ Diogo Costa
v) Brighton’s Bart Verbruggen
vi) Sunderland’s Robin Roefs
2) Beki wa kati mmoja — Kipaumbele kikubwa ni Murillo kutoka Nottingham Forest, ambapo Chelsea wanaongoza katika mbio za kumsajili.
3) Striker mmoja — Tayari wamekubaliana na Emmanuel Emegha kutoka Strasbourg kujiunga. Wanaweza kutafuta mwingine wa ziada ambaye anayefuatiliwa ni Igo Thiago wa Brentford.
4) Kiungo mmoja — Valentin Barco kutoka Strasbourg yuko karibu sana kujiunga, huku wengine kama Adam Wharton na Elliot Anderson wakiwa kwenye orodha.
5) LW mmoja — Wanahitaji kuimarisha upande wa kushoto, na wanaweza kutazama wachezaji kama Anthony Gordon au wengine wa ubora huo.
Hii ni sehemu ya mpango wa kuimarisha timu chini ya kocha mpya Xabi Alonso.