arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,362
- 4,415
Endeleeni kugombana.....ila msimu ujao ukifika unganeni Tena muamze kutuombea njaa....maana hyo ndo kazi mnayoiweza....kiukweli kabisa.... Chelsea hawatakiwi kucheza hata ndondo cup ya Ulaya....msimu ujao inatakiwa wabaki mulemule Uingereza wawe wanazungukazunguka tu....kucheza na kina Fulham mara Bournemouth...hzo ndo level zao....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona Arsenyashi sisi tulimkazia vizuri tu na points zetu 3 tukachukua, Nyie Chelkenge ndio mlijifanya mbuzi mkainua mkia juu na kumruhusu aingize yote Kenge kabisa nyie.
Na huyo Xabi Alosto nae mtamfukuza tu, baada ya Roman Abramovic kudhulumiwa haki yake aliiapiza na kuiombea laana hili litimu.
Siku zote hua hakunaga baraka kwenye mali za dhuluma kenge nyie na bado mtateseka sana msimu ujao wajaa laana nyie. View attachment 3591838