Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kanaitwa kanani tukakaangalie utube

Enzo anauzwa?
Wasifu wa Jumla wa Valentín Barco
Valentín Barco ni mchezaji chipukizi wa Argentina mwenye uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi, na uelewa wa juu wa nafasi. Anaweza kucheza kama Left‑Back (LB), Left Wing‑Back (LWB), au LCM/Interior 8 katika mifumo ya kisasa ya positional play.
Ni aina ya mchezaji anayefaa sana mifumo ya inverted fullback na fluid midfield rotations.

Timu Alizowahi Kuchezea
  1. Boca Juniors (Argentina) — Alikulia hapa na akawa mmoja wa vipaji bora zaidi vya akademi ya Boca.
  2. Brighton & Hove Albion (England) — Alisajiliwa Ulaya kutokana na uwezo wake mkubwa wa kiufundi na tactical intelligence.
  3. RC Strasbourg Alsace (France) — Klabu yake ya sasa, akicheza Ligue 1 chini ya mradi wa BlueCo, akipata dakika nyingi za kukuza kiwango chake.
  4. Chelsea FC (England) — Anatarajia kujiunga msimu ujao kama sehemu ya mpango wa muda mrefu wa BlueCo.
  • Umri: Miaka 21
  • Uraia: Argentina
  • Mguu: Kushoto
  • Aina ya Mchezaji: Fullback wa kisasa anayependa kuingia katikati (inverted), mwenye ubunifu, kasi, na intensity ya juu.
Kwa Nini Barco Ni Mchezaji wa Kipekee
  • Ana uwezo mkubwa wa kubeba mpira na kutoka kwenye presha kama kiungo.
  • Ana ujasiri wa kucheza mbele, kupiga pasi za kuvunja mistari, na kuunda overloads katikati.
  • Ni mchezaji mwenye intensity ya juu, anapenda duels, na haogopi kupambana.
  • Anaweza kucheza nafasi nyingi — LB, LWB, LCM, hata AM katika mifumo fulani.
Nafasi Bora Katika Mfumo wa Kisasa
  • Inverted LB / LCM hybrid
  • LWB mwenye uhuru mkubwa kushambulia
  • LCM wa ubunifu katika mechi zinazohitaji progression zaidi
 
Safi nimemfaham umeelezea vizuri sana
 
Safi nimemfaham umeelezea vizuri sana
Washkaji miyeyusho sanaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo tunahitimisasha safari ndefu yenye mabonde na miinuko katika msimu wa 2025-2026. Sijui itakuwaje msimu ujao.
 
Yaani Chelsea, Man united anampiga Brighton vibaya Huku yeye badala ajikaze kidogo ili matumaini ya usiku wa Ulaya yawepo wao ndo Kwanza wanarusha rasta zao, zile rasta ziliwaponza.
 
Hawa wachezaji wanahitaji kocha mkoloni, anayeshika fimbo na kuchapa matakoni kila mara ndipo wacheze vizuri. Natumaini Xabi Alonso atakuwa kama Enzo Maresca
Fofana ni wa kumuweka kwenye Development squad akikataa kuuzwa au kutolewa bure
 
Xabi nae alisajili kina Joao na liam hatafika popote

Nilisema mwanzo wa ligi usajili wa timu ndogo haufikishi popote
 
Nyinyi kenge mbona sisi tushachukua ligi nyinyi bado mnaruhusu kufungwa?
 
Huyo hapo Enzo kafanya hivi leo
1779646195857.png
 
Hizi timu ni bora kuliko Chelsiii
  1. Bournemouth = Europa League
  2. Sunderland = Europa League
  3. Brighton = Conference League
 
Alonso asafishe kikosi atoe makonokono alete vyuma vya maana vinavyopambania timu.
Wachezaji wapya ukiacha wale wa Strasbourg ni watatu au wanne tu
Ninaamini kwamba chini ya Xabi Alonso, kuna wachezaji ambao watawathibitishia mashabiki wa Chelsea na wachambuzi kuwa walikosea kabisa kuwaita makonokono na matakataka.
Hata hivyo, kuwauza wachezaji kama Enzo Fernández, Marc Cucurella, Tosin, Disasi, Badiashile, Wesley Fofana, Pedro Neto, na wengineo ni hatua inayoweza kusaidia kukusanya fedha za kuboresha kikosi kwa usahihi.
Kipaumbele kinapaswa kuwa kununua wachezaji wenye ubora wa juu katika maeneo haya muhimu:
🛡️ Beki wa kati (CB)
🎯 Kiungo wa kati
⚡ Winga wa kushoto (LW)
🔥 Mshambuliaji
 
Kuna shabiki mwenzenu nimekuta anachambua sajili zenu hii ni C&P

Chelsea BluesCo signings.

01. Raheem Sterling - forgot how to play
02. Kalidou Koulibaly - past it
03. Wesley Fofana - top 10 worst signing oat
04. Marc Cucurella - success
05. Pierre-Emerick Aubameyang - past it
06. Carney Chukwuemeka - not ready
07. Cesare Casadei - not good enough
08. Gaga Slonina - who?
09. Denis Zakaria (loan) - didn’t play
10. Enzo Fernández - success
11. Mykhailo Mudryk - cheat and crap
12. Benoît Badiashile - terrible
13. Noni Madueke - average
14. Malo Gusto - pants
15. Andrey Santos - okay
16. Datro Fofana - we’re not Brighton
17. João Félix (loan) - luxury player
18. Moïsés Caicedo - success
19. Romeo Lavia - broken
20. Christopher Nkunku - broken
21. Cole Palmer - success
22. Nicolás Jackson - okay
23. Axel Disasi - not good enough
24. Robert Sánchez - okay
25. Lesley Ugochukwu - not good enough
26. Diego Moreira - shipped
27. Dujuan Richards - who?
28. Deivid Washington - £20m for nothing
29. Pedro Neto - overpriced
30. João Félix - bullied into buying
31. Omari Kellyman - £20m for nothing
32. Marc Guiu - why?
33. Renato Veiga - sold for profit
34. Caleb Wiley - who?
35. Filip Jørgensen - shit
36. Aaron Anselmino - never played
37. Jadon Sancho (loan) - shit
38. Liam Delap - shit
39. Estêvão Willian - potential
40. Kendry Páez - never played
41. João Pedro - success
42. Jamie Gittens - £55m what were we thinking?
43.Mike Penders - potential
44 Quenda - potential
45 Dastan Satpaev - potential

5 of the 45 signings you could consider a success - 11% success rate.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom