Pressure ya Chelsea ni kubwa sana ndio maana mpaka ownership wenyewe wameamua wabadili philosophy yao kutokana na demand ya mashabiki kuwa kubwa. Alonso kaprove kwa kuwa tayari ameshashinda kombe la Bundesliga mbele ya Bayern na hata alivyoenda Madrid unaona kabisa team ilishakaa sawa sema ile migongano yake na senior players ikaja kubadili upepo na ndio sababu kuu aliyofukuzwa hata Mourinho amewahi kuexperience hicho kitu kutoka kwa Hazard, Diego Costa na Fabregas mpaka akawaita ni mapanya wa team.Chelsea siyo kubwa kuzidi Madrid.
Kilichomtoa Madrid ni ego ya Vini na wenzake.
Asipodeal na Enzo na Cucurella zee la maboko basi tutarajie makubwa.
Ukiniuliza nitasema Xabi hajaprove his presence kwenye timu yenye matarajio makubwa.