Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,814
- 78,496
Mikel Obi alikua best player kwenye tournament ambayo Messi alikuepo piaEnzo Fernandez na Cucurella sio average players wale ni winner Enzo ana kombe la Dunia na kwenye hiyo michuano yeye alikuwa ndio best young player na ukija kwenye huu msimu japo kwetu ni mbovu lakini hauna kiungo mwenye namba ambaye amemfikia Enzo Fernandez na ukija kwa Cucurella ana kombe la mataifa ya Ulaya na yeye ndio aliyekuwa best left defender kwenye hiyo michuano na ni mmoja wa key figure kwenye team yetu.Hiyo migogoro iliyokitokeza ni kwasababu wanataka ni kwa nia nzuri ya kulazimisha Mambo ili team iwin Mataji na kwa kiasi chake imesaidia club kubadilisha baadhi ya Mambo ili kwenda sawa na mahitaji ya mashabiki na key figures players wa team
Tournaments za mechi hazizidi 15 mpaka unachukua ubingwa siyo kipimo cha kukiwasilisha ili kiwe hoja kuu. Mfuatilie James Rodriguez career yake ili unielewe zaidi hapa.
Online haswa X na kidogo humu kuna ids za mashabiki wa Chelsea walimfananisha Enzo na Rice. Wote tunajua kwanini huu ufananishaji umekwama kwa sasa.
Enzo na Cucurella ni wabovu? No.
Ni world class? No.
Elite? Yes