Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wanazuga wana furaha sababu Arsenal asichukue ubingwa...Sijui akimfunga City game ijayo watasemaje
Yani nyie magoigoi mumfunge city?
20260412_131947.jpg
 
Habari njema

Hato atakuja kuwa beki bora sana
Viongozi wamekaa na wamekubali kuendelea kukaa na wachezaji wazoefu kupanga msimu ujao (Enzo na Cucurella walitingisha kiberiti na imelipa)
Msimu ujao wamiliki wamekubali kusajili wachezaji watakao leta impact ya moja kwa moja
 
From the FIFA club world champions to the conference league 🤣🤣🤣
 
Habari njema

Hato atakuja kuwa beki bora sana
Viongozi wamekaa na wamekubali kuendelea kukaa na wachezaji wazoefu kupanga msimu ujao (Enzo na Cucurella walitingisha kiberiti na imelipa)
Msimu ujao wamiliki wamekubali kusajili wachezaji watakao leta impact ya moja kwa moja
Baada ya kuharibu team yetu ndio akili zimewakaa sawa Cucurella na Enzo sikuwapinga kabisa nilitaka hiki kifanyike na wale hawakuwa na dhamira ya kweli ila walitaka kuwalazimisha wamiliki wafanye hivyo maana kelele za mashabiki haikusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom