Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,403
- 5,007
Mtabiri😂😂Mimi nasema mapema kabisa,hapa hamna kocha.
Mtabiri😂😂Mimi nasema mapema kabisa,hapa hamna kocha.
Naendelea kuhusu hiliKiungo flop kama caicedo mkiendelea kumpanga itakula kwenu hata aje kocha nani 🤣 🤣 🤣 🤣
Mbona sasa wewe ndie unamsemea.Xabi Alonso apewe Mamlaka kamili ya kusajili wachezaji anaowataka na kutengeneza timu ya ushindani.
Pia itapendeza akiwaondoa wachezaji:- Garnacho, Delap, Tosin, Gusto, Lavia, Badiashile, Chalobah, James, Fofana, Mudyk na zile Mbarara ndogo ndogo ziende kwa mkopo zikakue.
Alonso apunguze ukubwa wa kikosi tuache kusajili ovyo ovyo kujaza kikosi.
Kuna utifauti kati ya Manager na Head Coach,Maresca alikuwa Head Coach na Alonso ni Manager hivyo anakuwa na power zaidi aliyopewaKwa Maresca tuliambiwa hivi hivi
View attachment 3589710
I don't believe it until I see it happeningKuna utifauti kati ya Manager na Head Coach,Maresca alikuwa Head Coach na Alonso ni Manager hivyo anakuwa na power zaidi aliyopewa
James? Sawa 😂Xabi Alonso apewe Mamlaka kamili ya kusajili wachezaji anaowataka na kutengeneza timu ya ushindani.
Pia itapendeza akiwaondoa wachezaji:- Garnacho, Delap, Tosin, Gusto, Lavia, Badiashile, Chalobah, James, Fofana, Mudyk na zile Mbarara ndogo ndogo ziende kwa mkopo zikakue.
Alonso apunguze ukubwa wa kikosi tuache kusajili ovyo ovyo kujaza kikosi.
Ujumbe wa Xabi Alonso kwa mashabiki wa Chelsea:
Kuwa full involved in transfer maana yake ni kwamba unakuwa na chance ya kutoa maoni yako ya aina gani ya mchezaji unayemuhitaji na ni Nani lakini haimanishi kwamba final decision inakuwa yako lakini kwa Alonso imetumika neno "Manager" maana yake ni kwamba sio tu anapendekekeza lakini pia yeye anakuwa final say and immediately action take placeKwa Maresca tuliambiwa hivi hivi
View attachment 3589710
Mtabiri tambitambi 😂Mtabiri😂😂
Ulitaka aje nani?Mimi nasema mapema kabisa,hapa hamna kocha.
Nadhan umeamini sasa kwamba Alonso anakuwa ni Manager na Si Head Coach.Ujumbe wa Xabi Alonso kwa mashabiki wa Chelsea:
“Chelsea ni moja ya vilabu vikubwa zaidi kwenye Ulimwengu wa soka, na kunipa nijisikie sifa kubwa kuwa manager wa klabu hii kubwa.”
“Katika mazungumzo yangu na ownership group pamoja na sporting directors, imekuwa wazi kabisa kwamba tuna malengo yanayofanana. Tunataka kujenga timu inayoweza kushindana kwenye viwango vya juu kila msimu na kupigania makombe.”
“Kuna vipaji vikubwa ndani ya hii timu na uwezo mkubwa kwenye hii club, na itakuwa heshima yangu kubwa kuiongoza. Sasa focus ni kwenye hard work, kujenga utamaduni sahihi, na kushinda makombe.”
View attachment 3589869
Hapo kwa James na Gusto nakataa, James ni mchezaji mpambanaji na hakuna team yoyote unayoijua wewe anaweza akawa benchi huyo ni world player tulionae unasemaje tumuondoe, na kwa Gusto ni mchezaji ambaye ni mzuri na ni mzuri kwenye tactical plan ya kocha kutokana na flexibility yake we si umeona Jana Doku alikuwa hatembei ule upande wa GustoXabi Alonso apewe Mamlaka kamili ya kusajili wachezaji anaowataka na kutengeneza timu ya ushindani.
Pia itapendeza akiwaondoa wachezaji:- Garnacho, Delap, Tosin, Gusto, Lavia, Badiashile, Chalobah, James, Fofana, Mudyk na zile Mbarara ndogo ndogo ziende kwa mkopo zikakue.
Alonso apunguze ukubwa wa kikosi tuache kusajili ovyo ovyo kujaza kikosi.
Pia tumshukuru mzee wa maboko guehi kwa kutoa boko kwenye mechi dhidi ya Everton, bila hvy msingekuwepo hapo mlipoChelsea siyo kubwa kuzidi Madrid.
Kilichomtoa Madrid ni ego ya Vini na wenzake.
Asipodeal na Enzo na Cucurella zee la maboko basi tutarajie makubwa.
Ukiniuliza nitasema Xabi hajaprove his presence kwenye timu yenye matarajio makubwa.
Mwamba alitoka kupiga konyagi kwa mama Amina kwahiyo mvumilie ndugu yangu 🤣James? Sawa 😂
Mpira ni mchezo wa makosa chura wewe. Unadhani tunavyowafunga ni kwavile nyinyi vinabo sana? Si tunawalazimisha tu kufanya makosa?Pia tumshukuru mzee wa maboko guehi kwa kutoa boko kwenye mechi dhidi ya Everton, bila hvy msingekuwepo hapo mlipo