Chelsea imekuwa Leicester CityNaendelea kuiona THE BLUES nafasi ya kule chini.
Fantasy hua anakua nazo zee la essay acha kujipa matumaini hewaMpaka sasa hatujafungwa 😂 h n maajabu
Na tusishangae tukashnda h mechi mana city n kama hana bahati
[emoji1]Naendelea kuiona THE BLUES nafasi ya kule chini.
Xabi Alonso to Chelsea — mwanzo wa enzi mpya. Kutoka tactical genius hadi kuwa London’s next big project. Rebuild inaanza, na Stamford Bridge iko tayari kwa falsafa mpya kabisa. 🔵🔥David Ornstein: Deal iko sealed — Xabi Alonso to Chelsea. Mspaniola huyo alikuja London last week, akapewa project, akasema yes bila kusita. Four‑year contract tayari sorted. Official announcement loading… 🔵🔥
View attachment 3589658
Yaa… enzi mpya inanguruma kweli. Unaweza kuhisi upepo wa mabadiliko ukipiga kutoka mbali, kama radi inayotangaza msimu mpya. Mashabiki tumekuwa tukisubiri kitu kipya kwa muda mrefu, na sasa moto huu unaowaka Stamford Bridge hauzuiliki. Huu sio mwanzo tu — ni ujumbe kwamba zama mpya zimewasili, na hakuna wa kuizuia.Xabi Alonso to Chelsea — mwanzo wa enzi mpya. Kutoka tactical genius hadi kuwa London’s next big project. Rebuild inaanza, na Stamford Bridge iko tayari kwa falsafa mpya kabisa. 🔵🔥
View attachment 3589669
Ila hii bodi ya Chelsea wajifunze kwenye swala la umri wa mkataba. Mwakani baada ya vipigo vya Brentford na Brighton atafukuzwa kisha itabidi alipwe miaka mitatu aliyobakishaDavid Ornstein: Deal iko sealed — Xabi Alonso to Chelsea. Mspaniola huyo alikuja London last week, akapewa project, akasema yes bila kusita. Four‑year contract tayari sorted. Official announcement loading… 🔵🔥
View attachment 3589658
Hakuna kocha aliyelipwa miaka mingi hivyo. Kocha anapewa mkataba wa miaka minne lakini break clause inakuwepo isiyoumiza. Sio kila kitu hawa wamarekani ni wajingaIla hii bodi ya Chelsea wajifunze kwenye swala la umri wa mkataba. Mwakani baada ya vipigo vya Brentford na Brighton atafukuzwa kisha itabidi alipwe miaka mitatu aliyobakisha
Labda wamejifunza siku hizi. Unaona ugumu wa kumvunjia mkataba Mudryk? Ni swala la umri wa mkataba kushindwa kulisimamiaHakuna kocha aliyelipwa miaka mingi hivyo. Kocha anapewa mkataba wa miaka minne lakini break clause inakuwepo isiyoumiza. Sio kila kitu hawa wamarekani ni wajinga
Mwaka jana walirekebisha mkataba wa Mudryk hatujui nini kilirekebishwa lakini naamini ni kipengele cha kuvunga mkatabaLabda wamejifunza siku hizi. Unaona ugumu wa kumvunjia mkataba Mudryk? Ni swala la umri wa mkataba kushindwa kulisimamia
Kwa Maresca tuliambiwa hivi hiviHatimae wamejifunza na tumepata kocha mzuri sasa,Report zinasema Alonso atakuwa Manager badala ha Head Coach kama waliopita,Hii inamaana anakuwa na power katika kikosi na baadhi ya vitu.
Ngoja tuone signing zitakuwaje na Je hawa SD na Owner hawatomgeuka baadae?
Natumai tumejifunza,Naomba msim huu tusifuzu hata Conference ili Alonso apate mda zaidi,Conference ni kakombe kaajabu na sikahadhi yetu
Kesho Jumapili ndio siku ya kumtangza Xabi Alonso kama Manager mpya wa ChelseaYaa… enzi mpya inanguruma kweli. Unaweza kuhisi upepo wa mabadiliko ukipiga kutoka mbali, kama radi inayotangaza msimu mpya. Mashabiki tumekuwa tukisubiri kitu kipya kwa muda mrefu, na sasa moto huu unaowaka Stamford Bridge hauzuiliki. Huu sio mwanzo tu — ni ujumbe kwamba zama mpya zimewasili, na hakuna wa kuizuia.
View attachment 3589671