Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jana mida ya mchana tulikua chelsea, mida ya jioni tukaenda City. Leo tunaenda wapi?
 
20260506_000513.jpg
 
Kumbe leo ndio fainali yetu ya FA. Kwa sasa Hatuna uwezo wa kumfunga City.
Chelsea ni mfa maji, kwenye ligi hatutaweza kupata hata Conference league, kete yetu ya mwisho ni hii FA final. PEP atusamehe, tutaondoka na vichwa vya akina Doku, Cherki, Semenyo na Haaland. Hii ya leo sio mechi ni vita.
Najua naye PEP asipobeba hii FA ligi kwake itakuwa mbovu sana japo kabeba Carabao cup
 
Wazenge hamjui kama mnacheza? Mimi sitaki muende Europa kwahiyo inabidi mfumuliwe leo
 
Leo mnaliwa..... pep hatowaacha !
Nasikia mnamtaoa Xabi.... pambaneni, mump3 clear and authority project.... then muingie sokoni, matakataka yote yakina delap, achaempong, sarr, garnacho, gittens, lavia, tosin n.k

Big Egos kama kina Enzo na Cucurella wanaona wao ndio image yenu, muwaondoe pia ! Dressing room ikae poa ndani ya two years mtaanza kuvuna makombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom