Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna Estêvão Willian na Cucurella amejeruhiwa, kwa hiyo Gusto atacheza kama LB huku Jorrel Hato akiwa benchi.


1771686053955.png
 
Kwa aina hii ya uchezaji, hatuwezi kuwashinda Arsenal. Imethibitishwa.
FT
Chelsea 1 - 1 Burnley
 
Epl hakuna mnyonge. .... intensity iko juu sana ! Ndio maan ni league best in the world!
Poleni majirani, sisi tunafurahi tukiona kibanda cha mwenzetu kinaungua
 
Kocha mwenyewe jinga kabisa, yaani baada ya red card kafanya sub za kipuuzi, angetuliza wenge ata bila sub wangekula hat mbili.
Tatizo wachezaji waliacha kukaza baada tu ya kufunga goli. wamekuwa legelege sana. Sub ya Tosin ilikuwa ya kipumbavu sana. Hakukuwa pia na haja ya sub ya Josh kwa James.
 
Epl hakuna mnyonge. .... intensity iko juu sana ! Ndio maan ni league best in the world!
Poleni majirani, sisi tunafurahi tukiona kibanda cha mwenzetu kinaungua
Hawa Burnley ni wabovu kupita kiasi. Tumeshindwa kuwafunga basi tena, hizi mechi 11 zilizobaki ndio zitakuwa rahisi kweli?
  1. Arsenal
  2. Aston Villa
  3. Newcastle United
  4. Everton
  5. Manchester City
  6. Manchester United
  7. Brighton & Hove Albion
  8. Nottingham Forest
  9. Liverpool
  10. Tottenham Hotspur
  11. Sunderland
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom