Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,122
- 16,194
Mnaona tunafaidia au sio. Haya muangalie hizo hizo mechi zenu za kibabe. 😁Mechi za kibabe sana kasoro hio ya Arsenal na Wareno
Mnaona tunafaidia au sio. Haya muangalie hizo hizo mechi zenu za kibabe. 😁Mechi za kibabe sana kasoro hio ya Arsenal na Wareno
Usishangae hao madogo wa reno,wanawatoa, wanakumbukumbu yakuwahi kuwatoa robo fainali kwenye Europa league miaka kama mi3/4 nyumaMnaona tunafaidia au sio. Haya muangalie hizo hizo mechi zenu za kibabe. 😁
Tutawadunda safari hii kama hatujawai....mara ya mwisho kukutana nao tuliwagonga chuma 5 pale nyumbani kwaoUsishangae hao madogo wa reno,wanawatoa, wanakumbukumbu yakuwahi kuwatoa robo fainali kwenye Europa league miaka kama mi3/4 nyuma
Huyu mfukuzeni....anakula mshahara wa bure kabisa pale darajaniEXCL: Uongozi wa Chelsea uko tayari kumpa Enzo Fernández mkataba mnono unaoweza kufikia pauni 400,000 kwa wiki ili kuhakikisha anabaki ndani ya mradi wa klabu. Paris Saint‑Germain na Real Madrid tayari wameonyesha nia ya kumsajili kiungo huyo mahiri wa Chelsea, ambaye pia ni mshindi wa Kombe la Dunia.
-TEAMtalk
View attachment 3560275
Eti mnafagiliwa njia ya top four.Timu zinaipenda Chelsea na zinaifagilia njia ya top 4. Tusubiri tuone kama wataitumia nafasi hiyo kwenye mechi yao dhidi ya Everton baadaye leo.
FT: Brighton 2–1 Liverpool.
We Lofa...hyu mawani mnamfukuza lini🤠🤠🤠View attachment 3561167
Huyu ni tapeli mama e
Vp bado timu zinaipenda na kuifagilia njia chelkenge kwenda top 4?Timu zinaipenda Chelsea na zinaifagilia njia ya top 4. Tusubiri tuone kama wataitumia nafasi hiyo kwenye mechi yao dhidi ya Everton baadaye leo.
FT: Brighton 2–1 Liverpool.