Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

🔥 Liverpool vs Galatasaray imekwisha mapema dakika ya 61
Wamefanya mauaji Anfield!

🔴 Liverpool 4–0 Galatasaray 🦁

Utawala mtupu. Mchezo umeisha.
 
1773871142300.png
 
Kuna mtu leo huku mtaani nilimjibu hivyo hivyo, wasipofanya usajili muhimu na kumwacha kocha azoeane na wachezaji kuna siku mungu atanipa ujasiri nikaachana na haya mateso
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
EXCL: Uongozi wa Chelsea uko tayari kumpa Enzo Fernández mkataba mnono unaoweza kufikia pauni 400,000 kwa wiki ili kuhakikisha anabaki ndani ya mradi wa klabu. Paris Saint‑Germain na Real Madrid tayari wameonyesha nia ya kumsajili kiungo huyo mahiri wa Chelsea, ambaye pia ni mshindi wa Kombe la Dunia.
-TEAMtalk

1773980334485.png
 
Usishangae hao madogo wa reno,wanawatoa, wanakumbukumbu yakuwahi kuwatoa robo fainali kwenye Europa league miaka kama mi3/4 nyuma
Tutawadunda safari hii kama hatujawai....mara ya mwisho kukutana nao tuliwagonga chuma 5 pale nyumbani kwao
 
Du! Wakuu hapa mtaani kwetu mbona pamepooza namna hii wakati leo tunakipiga au tumekata tamaa.

Kuanguka sio mwisho wa safari kwa mtu. Tujipige vifua tupambane tuone hatimae kutakokea nini.

Kweli wamiliki wanatuangusha sana sisi wafia Chelsea lakini hilo lisiondoe ukweli wa kihisia kuwa tunaipenda Chelsea.

"The sun will rise again"
 
EXCL: Uongozi wa Chelsea uko tayari kumpa Enzo Fernández mkataba mnono unaoweza kufikia pauni 400,000 kwa wiki ili kuhakikisha anabaki ndani ya mradi wa klabu. Paris Saint‑Germain na Real Madrid tayari wameonyesha nia ya kumsajili kiungo huyo mahiri wa Chelsea, ambaye pia ni mshindi wa Kombe la Dunia.
-TEAMtalk

View attachment 3560275
Huyu mfukuzeni....anakula mshahara wa bure kabisa pale darajani
 
Timu zinaipenda Chelsea na zinaifagilia njia ya top 4. Tusubiri tuone kama wataitumia nafasi hiyo kwenye mechi yao dhidi ya Everton baadaye leo.
FT: Brighton 2–1 Liverpool.
 
Timu zinaipenda Chelsea na zinaifagilia njia ya top 4. Tusubiri tuone kama wataitumia nafasi hiyo kwenye mechi yao dhidi ya Everton baadaye leo.
FT: Brighton 2–1 Liverpool.
Eti mnafagiliwa njia ya top four.

Jiandae kuandika essays zako na fantasies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom