Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vyanzo vya uhakika vinadai kuwa Enzo Fernandez anaweza kuhamia Spain kama ofa nzuri ikija msimu ujao wa kiangazi.
Jana akihojiwa na ESPN Enzo aliulizwa kuhusu kuihama Chelsea akajibu hivi:
"Bado mechi 8 zimebakia na FA Cup halafu World Cup baada ya hapo tutaona nini kitatokea"
Wewe unasemaje kuhusu Enzo kuuzwa? kumbuka ana mkataba hadi 2032
 
Za kichwa
20260315_133452.jpg
 
Miracles happen — and when they do, mambo yanakuwa hivi.

Chelsea vs PSG – Second Leg at Stamford Bridge

00' – Kick‑off
20' – João Pedro scores → Chelsea 1–0 PSG
23' – Rúben Neves sent off (red card)
24' – Cole Palmer converts a penalty → Chelsea 2–0 PSG
44+2' – João Pedro strikes again in added time of first half→ Chelsea 3–0 PSG

45' – Half‑time

50' – Dembélé pulls one back → Chelsea 3–1 PSG
55' – Enzo restores the three lead → Chelsea 4–1 PSG
56' – Cucurella booked (yellow card)
74' – Andrey Santos finishes it → Chelsea 5–1 PSG
87' – Kvaratskhelia hits the post
90+7' – Full‑time → Chelsea 5–1 PSG

Aggregate: Chelsea 7–6 PSG

Chelsea march into the quarter‑finals against Liverpool.
Mpira ungekuwa unachezwa hivi, Tanzania ingekuwa na world cup
 
Tuangalie kwanza kiwango cha Chelsea. Enzo Fernández mwenyewe hana uhakika na mustakabali wake ndani ya klabu. Ukiangalia kwa picha kubwa:
  • Mradi mzima unaporomoka.
  • Wachezaji hawajui hatma yao.
  • Motisha imepotea.
  • Wamefungiwa kwenye mikataba mirefu kama vifungo vya utumwani au gerezani.
Mashabiki, tusitarajie mafanikio yoyote makubwa bila mageuzi ya msingi kwenye sera na muundo wa klabu.
 
chelsea mshawishini hansi flick aje darajani hapo ,ni kocha mzuri wa vikombe pia.

liam mahaba yanamponza ya wachezaji..
 
Miracles happen — and when they do, mambo yanakuwa hivi.

Chelsea vs PSG – Second Leg at Stamford Bridge

00' – Kick‑off
20' – João Pedro scores → Chelsea 1–0 PSG
23' – Rúben Neves sent off (red card)
24' – Cole Palmer converts a penalty → Chelsea 2–0 PSG
44+2' – João Pedro strikes again in added time of first half→ Chelsea 3–0 PSG

45' – Half‑time

50' – Dembélé pulls one back → Chelsea 3–1 PSG
55' – Enzo restores the three lead → Chelsea 4–1 PSG
56' – Cucurella booked (yellow card)
74' – Andrey Santos finishes it → Chelsea 5–1 PSG
87' – Kvaratskhelia hits the post
90+7' – Full‑time → Chelsea 5–1 PSG

Aggregate: Chelsea 7–6 PSG

Chelsea march into the quarter‑finals against Liverpool.
Kulaalekiiiii

Flano na Labyrinth 84 hamieni huku kwa kina kenge.

Mnatuonaga mashabiki wa Arsenal ni delusional, njooni muone delulu max ultra!!!
 
Mpigwe tu ..... huyu Liam amna kocha humo, bora kichwa ngumu maresca walau alikuwa anaotea otea vijiushindi vya kuwapooza !!! SDs wabovu, board ndo imeoza, kocha amna kitu .... wachezaji kabisa ndo mazaga zaga ! Unategemea beki ya kina hato, sarr, ikupe UEFA ? Mnaota ?
 
Huku chelkenge huwa mnaandika ukweli wenu.

Namna mnavyokiona kikund chenu cha wahuni.
 
Taarifa Rasmi ya Sadio Mané:
“Kilichotokea kimepitiliza mipaka. Huu sio mpira tunaoupigania, wala sio Afrika tunayoiamini.

Kuna kiwango kikubwa sana cha ufisadi kwenye mchezo wetu, na kinaua hamasa ya mamilioni ya mashabiki barani kote. Wachezaji wanatoa kila kitu uwanjani, lakini maamuzi yanayofanyika nje ya uwanja ndiyo yanaamua mechi na makombe.

Nimevunjika moyo sana — si kwa Senegal pekee, bali kwa soka la Afrika kwa ujumla. Tunastahili zaidi ya hiki. Mashabiki wanastahili haki, uwazi, na heshima.”

1773818772576.png
 
Likisajiliwa tu tunapita nalo, hii ni jadi yetu kuwa na makombe ya kila aina
Anazungumzia Conference League ambalo tulishalibeba. Chelsea ikicheza Europa au Conference league itakuwa muhimu sana kwa sababu tuna wachezaji wa hovyo sana ambao hawajakomaa kivile
 
Tatizo letu kubwa kwa sasa halihusiani na ubora wa makocha wala wachezaji. Chanzo halisi cha matatizo ni umiliki wa klabu, muundo wa uendeshaji, mtindo wa mradi, na namna sera na mikakati inavyotekelezwa.

Hata tukilia, kupiga kelele, au kuendesha kampeni ya #RoseniorOUT mchana kutwa, haitasaidia kitu. Umiliki huu utaleta tu kocha mwingine wa kiwango cha chini na kuwatupa tena vijana wasio na uzoefu kwenye mfumo ule ule uliovunjika.

Katika kipindi cha miaka minne tu, tumekuwa na karibu makocha wanane tofauti:
  • Thomas Tuchel: Alifukuzwa Septemba 2022 (alidumu miezi 3–4 chini ya wamiliki wapya).
  • Graham Potter: Aliingia Septemba 2022; alifukuzwa Aprili 2023.
  • Bruno Saltor (muda mfupi): Alihudumu Aprili 2023.
  • Frank Lampard: Alirudi kama wa muda Aprili–Julai 2023.
  • Mauricio Pochettino: Aliteuliwa kiangazi 2023; akaondoka Mei 2024.
  • Enzo Maresca: Aliteuliwa Juni 2024; alifukuzwa Januari 1, 2026 (baada ya siku ~549 / miaka 1.5).
  • Calum McFarlane (wa muda): Alihudumu mapema 2026.
  • Liam Rosenior: Kocha wa sasa (alichukua nafasi baada ya Maresca.
Kiwango hiki cha kutokuwa na uthabiti kinaua kabisa nafasi ya kujenga utambulisho wa wazi. Kikosi hiki cha vijana wasio na uzoefu kimechanganyikiwa kabisa—makocha tofauti, mbinu tofauti, mitindo tofauti, mifumo tofauti, na uongozi tofauti kila wakati. Mzunguko huu wa vurugu ni matokeo ya moja kwa moja ya Wamarekani hawa wasio na dira ya soka ya muda mfupi, wa kati, wala wa muda mrefu.

Siwalaumu wachezaji kwa makosa yao, wala simlaumu Rosenior. Makosa yao ni dalili tu za kushindwa kwa muundo mzima. Tatizo halisi ni wamiliki na mazingira ya uendeshaji yaliyovurugika kutoka juu hadi chini.

Wachezaji hawa walikuwa wakifanya vizuri chini ya Enzo Maresca katika kipindi cha miaka miwili walichokuwa na uthabiti na mwelekeo wa wazi wa kiufundi. Lakini baada ya Maresca kufukuzwa, wachezaji wakubwa hawakufurahishwa na uamuzi huo—hata viongozi kama Enzo Fernández na Pedro Neto walionekana wazi kutoridhika na mabadiliko ya ukocha. Kuanzia hapo, morali ilishuka, kujiamini kukaporomoka, na Chelsea ikaanza kuonyesha vurugu na machafuko kila wiki.

Rosenior si adui hapa—yeye ni mhanga mwingine tu wa mfumo ambao tayari umevunjika. Mpaka wamiliki na muundo mzima ufanyiwe marekebisho makubwa, hakuna kitakachobadilika, haijalishi ni nani anayekaa kwenye benchi la ukocha hata kama ni PEP au Luis Enrique.

1773852964338.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom