Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vipigo vimezidi mpaka mashabiki wanaulizia namna wamarekani wanyanganywe timu sababu ya vita ya Iran. Kama walivyomtapeli mwamba wa Kirusi
 
Amini hvy mkuu, in tapeli Rosenior we trust 😂
🤣🤣🤣 Amini nakwambia huyo Rosemary ni bonge la kocha, kikubwa dirisha kubwa mumuongezee marastafari watatu na roba moja la Skanka.
 

Attachments

  • 1748516644467.jpg
    1748516644467.jpg
    185.5 KB · Views: 16
🤣🤣🤣 Amini nakwambia huyo Rosemary ni bonge la kocha, kikubwa dirisha kubwa mumuongezee marastafari watatu na roba moja la Skanka.
Chelkenge tungekuwa nafasi ya spurs bc championship uhakika
 
PSG ilikuwa bora sana kushinda 8-2 dhidi ya Chelsea FC kwa hali hii au tusubiri next UEFA CL quarter finals?
 
Shida ni wadhamini, hata wakimfukuza kocha wa mchongo muingereza bado tu wataajiri kocha mwingine wa mchongo.
 
On a serious note .. .... mnatia huruma, mnahitaji faraja, huu si wakati wa kuwacheka!

Kila siku mnakalia gunzi ... psg 8, JANA 3 !!!!

Raha sana kuona kibanda cha jirani kinaungua
 
Wachezaji wapo wapo tu, huko kwenye training kocha anawaambia nini wachezaji ? Ni vile kama hawamsikilizi ama wanamdharau .....

Kocha low profile, haelewi chochote !
Kuna tatizo lingine kubwa lipo hapo darajani na hamjaligundua..... amna mchezaji kiongozi, anayeforce mambo, the likes ya kina didier, Terry ama Frank! Mpo mpo tu, eti Enzo ndio kiongozi? Mna safari ndefu sana...... wachezaji wenyewe ndio kina garnacho, hato, gittens, delap , gusto, ?? Hata Caicedo nae amna kitu, hana ile commanding power, ni mchezaji mzuri sana ila bado ana makosa mengi na mihemuko !!! Ni kama kuna mda hajiamini !!!!

Walau Cucurela, Na kwa mbaali Neto ndio wachezaji unaweza kuwaona matured na wanapambania badge....... wengine hewa !
 
Lavia n tapeli tangu kusajiliwa kwake, wengi humu hua wananipinga khs yeye ila niliwaambia wanipe statics zake wanakimbia 😂
Tatizo la safari hii sio la mchezaji mmoja mmoja
Kocha kapoteza dressing room kabisa, kila mchjezaji anacheza hovyo kuanzia Kipa hadi striker sipokuwa Estevao tu alipoingia angalau alionyesha nia ya kufungia Chelsea magoli
Unaona kabisa wachezajo wote hawana morale, wanamgomea kocha au uongozi
 
Tatizo la safarti hii sio la mchezaji mmoja mmoja
Kocha kapoteza dressing room kabisa, kila mchjezaji anacheza hovyo kuanzia Kipa hadi striker sipokuwa Estevao tu alipoingia angalau alionyesha nia ya kufungia Chelsea magoli
Unaona kabisa wachezajo wote hawana morale, wanamgomea kocha au uongozi
Sawa ila bado Lavia n tapeli kitu ambacho nilikuwa mnakataa.
Of course estevao alivyoingia alionyesha kujaribu kufanya jambo tofauti na hao matapeli waliocheza dkk 90
 
Mimi huwa nikiwambia hapa tuna wachezaji wenye quality ndogo sana aka MATAKATAKA. Kuna baadhi ya matakataka hapa jukuani huwa wanakataa tena wanaenda mbali na kuanza kuwatetea. Hivi huwa mnabisha nini sasa, yaani mnabishana na ukweli.!?

Klabu kama Chelsea washindani wake ni hizo klabu zinazo fanya vizuri kwenye ligi mbalimbali, lakini cha ajabu klabu inasajili wachezaji wa hovyo hovyo tu. Tuna lundo kubwa la matakataka kuanzia kocha.
 
Aisee, sema fixtures ya Chelsea imekaa kibabe Sana... Kwa form hii mechi Saba zijazo ni za Moto Sana..
 
Tapeli wakuu kwenye hii project ni hao directors wengine wote ni sub set ya matatizo
Wawekezaji wamekuja na akili zao za kuendesha club ya mpira kama duka la mangi.
Wakaajiri wakurugenzi ambao wao ndio walitakiwa kuwaambia namna uwekezaji wa mpira unatakiwa kua kwa sababu wao ndio wanajua mpira na parameters zake
kama unaona mwajiri anamalengo yakinadharia pekee si walitakiwa kuwaambia ukweli wakishikilia msimamo wao wajiuzulu
Sasa kama wako ofisini inamaana hii standard ya timu wameridhika nayo na wanaiaminisha board kwamba project ipo kwenye right track

Ndio maana sasa hivi hata suala la kufukuza kocha kwa hawa directors wa level za Brighton wanaweza kumleta hata kocha wa Brentford kisa kafanya vyema kwenye long ball
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom