Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

UCL Round of 16 Second Leg
Chelsea vs PSG
Predicted lineup
3-4-2-1

--Joao Pedro--

Garnacho --- Enzo----- Palmer

--Santos ---- Caicedo---

Cucurella--Chalobah--Fofana — Gusto (if fit) or Caicedo and Lavia in the CM

--Sanchez--

Bench
1. Max Merrick
2. Jorrel Hato
3. Josh Acheampong
4. Tosin Adarabioyo
5. Benoît Badiashile
6. Mamadou Sarr
7. Reggie Walsh
8. Lavia
9. Estevão Willian
10. Pedro Neto
11. Liam Delap
12. Marc Guiu

#PSG | #CFC
Mechi ya Chelsea dhidi ya PSG ni saa 5 usiku. Lakini ukweli ni huu: kama Chelsea watashindwa kufunga angalau goli moja bila kuruhusu bao kipindi cha kwanza, nabadilisha chanel papo hapo na nahamia Netflix.

Kule Netflix angalau unapata faraja — kuna misimu mipya, episode mpya, na drama ya kueleweka. Sio kama difensi ya Chelsea ambayo inaruhusu magoli kama vile kuna mtu amewapa bahasha nyuma ya pazia.

Halafu lineup ikitoka na inaonekana dhaifu, imejaa majaribio, au haina akili ya kushinda, basi mimi siangalii kabisa.

Samahani sana kwa mashabiki wenzangu wa Chelsea wenye roho ngumu.
 
Aisee tuna wamiliki much knows sana
Wanasajili wachezaji kinda na wa free agent kama Tosin na kuajiri makocha wadogo wasio na uzoefu huku wakidai wanajenga project. Huu mwaka wa nne sasa hakuna hata dalili ya kushindania EPL.
Ubingwa wenu nyny na malengo yenu ni kutoka draw na Arsenal...hapo mnakuwa mnaridhika kabisa🤠🤠
 
UCL Round of 16 Second Leg
Chelsea vs PSG
Agg 2-5
3-4-2-1

--Joao Pedro--

Neto --- Enzo (C)----- Palmer

--Santos ---- Caicedo---

Cucurella--Hato----Sarr---Chalobah

--Sanchez--

Bench
1. Sharman-Lowe
2. Ted Merrick
3. Josh Acheampong
4. Tosin Adarabioyo
5. Wesley Fofana
6. Kavuma-McQueen
7. Romeo Lavia
8. Estevão Willian
9. Alejandro Garnacho
10. Liam Delap
11. Marc Guiu
12. Shim Mheuka
#PSG | #CFC
1773773302682.png
 
CP 4 : 0 Bodo
Kumbe inawezekana eee 😂 Ila sio kwa chelsea hii ya leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom