Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,294
- 129,510
Hawa waUSA ni majangili hapo chelkengeVipigo vimezidi mpaka mashabiki wanaulizia namna wamarekani wanyanganywe timu sababu ya vita ya Iran. Kama walivyomtapeli mwamba wa Kirusi
Hawa waUSA ni majangili hapo chelkengeVipigo vimezidi mpaka mashabiki wanaulizia namna wamarekani wanyanganywe timu sababu ya vita ya Iran. Kama walivyomtapeli mwamba wa Kirusi
Chelkenge tungekuwa nafasi ya spurs bc championship uhakika🤣🤣🤣 Amini nakwambia huyo Rosemary ni bonge la kocha, kikubwa dirisha kubwa mumuongezee marastafari watatu na roba moja la Skanka.
Hapa Maximum point 9 mmaeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuzimu iyooooooooo
Tatizo la safari hii sio la mchezaji mmoja mmojaLavia n tapeli tangu kusajiliwa kwake, wengi humu hua wananipinga khs yeye ila niliwaambia wanipe statics zake wanakimbia 😂
Sawa ila bado Lavia n tapeli kitu ambacho nilikuwa mnakataa.Tatizo la safarti hii sio la mchezaji mmoja mmoja
Kocha kapoteza dressing room kabisa, kila mchjezaji anacheza hovyo kuanzia Kipa hadi striker sipokuwa Estevao tu alipoingia angalau alionyesha nia ya kufungia Chelsea magoli
Unaona kabisa wachezajo wote hawana morale, wanamgomea kocha au uongozi
Tunakujua mzee wa matakataka na leo tunaheshimu maoni yako.Mimi huwa nikiwambia hapa tuna wachezaji wenye quality ndogo sana aka MATAKATAKA. Kuna baadhi ya matakataka hapa jukuani huwa wanakataa tena wanaenda mbali na kuanza kuwatetea. Hivi huwa mnabisha nini sasa, yaani mnabishana na ukweli.!?
Klabu kama Chelsea washindani wake ni hizo klabu zinazo fanya vizuri kwenye ligi mbalimbali, lakini cha ajabu klabu inasajili wachezaji wa hovyo hovyo tu. Tuna lundo kubwa la matakataka kuanzia kocha.
Sisi sio SpursTupo na nyie mpaka championship huko ....