Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,591
- 19,851
Hiyo Utajua mwenyewe😅Gemu saa 5 usiku, Chelsea wakishindwa kufunga angalau goli moja bila kipindi cha kwanza nabadilisha chanel nahamia NTEFLIX
Hiyo Utajua mwenyewe😅Gemu saa 5 usiku, Chelsea wakishindwa kufunga angalau goli moja bila kipindi cha kwanza nabadilisha chanel nahamia NTEFLIX
Ubingwa wenu nyny na malengo yenu ni kutoka draw na Arsenal...hapo mnakuwa mnaridhika kabisa🤠ðŸ¤Aisee tuna wamiliki much knows sana
Wanasajili wachezaji kinda na wa free agent kama Tosin na kuajiri makocha wadogo wasio na uzoefu huku wakidai wanajenga project. Huu mwaka wa nne sasa hakuna hata dalili ya kushindania EPL.
kaka mnadhani mtafanya comeback?Comeback ya kwanza tayari huko
Sporting 3 -0 Bodø/Glimt.
bodo anatafutwa sanaComeback ya kwanza tayari huko
Sporting 3 -0 Bodø/Glimt.
Kwa kinachotokea kwenye hii game ya wareno, kitawaathiri waingereza.CP 4 : 0 Bodo
Kumbe inawezekana eee 😂 Ila sio kwa chelsea hii ya leo
Wamarekani wapo kibiashara zaidi mkuu.Chelsea ina ujinga mwingi sana since wamarekani wachukue timu
Comeback ya kwanza tayari huko
Sporting 3 -0 Bodø/Glimt.
Comeback ya kwanza tayari huko
Sporting 3 -0 Bodø/Glimt.