Sometimes kocha nae ni kiazi unalazimisha kipa awe midifier which is fine kama una goal keeper mwenye skills hizo kama huna ni better utafute system nyingine
Sasa mechi moja mistake zaidi ya tano bado unalazimisha kufanya kitu kile kile mbaya zaidi ni kwenye knockout stage
Sasa mechi moja mistake zaidi ya tano bado unalazimisha kufanya kitu kile kile mbaya zaidi ni kwenye knockout stage