Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kazi ipo 😂
Matusi kibao kwa Jackson, ety leo ndo ety uliongea nn

Tujitakie kheri mechi ya leo.
Mbona husemi unabwabwaja maneno hii inaonyesha ulitaka kunitungia maneno
Mimi nilkikuwa namtetea sana Jackson alipokuwa mchezaji wa Chelsea na ofcourse hatukuwa na mwingine, ila aliposajiliwa tu Joao Pedro kwa sababu nilimfahamu tangu akiwa Brighton, mapenzi yangu kwa Jackson yakikoma, alipogombana na Maresca kuhusu kuwekwa benchi ndio nilimtoa kwenye list kabisa. Hili la kugoma kurudi alipoitwa ndio iliniuzi uwezi kuniambia kitu kuhusu Jackson, ameonyesha nidhamu mbaya, hana uprofesionalism yeye na agent wake.
Walidhani Bayern watamchukua moja kwa moja
Wakatuambia Ndege hairudi nyuma
Sasa akija tutamuuza au kumpeleka mkopo
Ni kweli Chelsea wanamfukuzia Igor Thiago na ujio wa Emanuel Emegha na hii inaonyesha kuwa
Jackson, Delap na Guiu hawana maisha tena darajani
 
Leo, Arsenal hawakupata set pieces? Au bado wanazisaka tu?
Leverkusen 1 – 0 Arsenal.
 
Lineup
 

Attachments

  • Screenshot_20260311-215945.png
    Screenshot_20260311-215945.png
    826.2 KB · Views: 9
Hivi ni kwenye mkataba wa mauziano na wamarekani ni lazima kipa asubirie press ndio apige pass kwa central midfielder
 
Kuna comments huwa nazisoma humu nakosa cha kusema. Kuna mtu anakaza msuli wa kidole kuandika kumponda Enzo kisa mechi 1/2

Wazee hivi nyie wachezaji huwa mnawaangaliaje au mnaongozwa na hisia tu
 
Hivi ni kwenye mkataba wa mauziano na wamarekani ni lazima kipa asubirie press ndio apige pass kwa central midfielder
Huyu kipa ni mzenge bora Sanchez aisee, tokea 1st half alishaonyesha atachoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom