Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,402
- 129,897
Swali la kifala sana hili.Ni bure au uwe na bundle
Swali la kifala sana hili.Ni bure au uwe na bundle
Ikiwa unajibu hivi tutakufungulia kesi mahakamani ya zuio la kutumia hilo jinaNi bure au uwe na bundle
🤣 muda mwingine tunachangamshanaIkiwa unajibu hivi tutakufungulia kesi mahakamani ya zuio la kutumia hilo jina
Lembu asione Hii 😂Jackson yeye na kipa kakosa manina, huyu mwamba ni kilaza.
Haya amefunga sasa 😂Jackson yeye na kipa kakosa manina, huyu mwamba ni kilaza.
Hivi kama tungekuwa na Jackson kama striker wetu tegemezi hivi tungekuwa wapi?Haya amefunga sasa 😂
Hapa hata lembu hatompiga spana
Ungejua ambavyo kwa sasa simtaki JacksonLembu asione Hii 😂
Ndiouna uhakika?
Sasa mbona ulipandwa na kisukari baada ya Jackson kukataa kurudi?Ungejua ambavyo kwa sasa simtaki Jackson
Natamani taarifa za rumours kuwa Chelsea inamfukuzia striker wa Brentford Igor Thiago ziwe za kweli. Huyo mwamba akiungana na Joao Pedro, tumemaliza kesi na Wamiliki na SDs kwa viungo na mbele, itabaki sasa kwenmye beki mmoja mzoefu mwenye kujua kusoma, kunusa hatari na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kama Thiago Silva
Ni kweli ila kama vijana wetu wamedhamiria, wakaacha silly mistakesLeo PSG anakufa.
Kisukari kimetoka wapi tenaSasa mbona ulipandwa na kisukari baada ya Jackson kukataa kurudi?
Rosenior sio mwehu kiasi hiki jamani, hawa kama wameenda ni kwenda kushangilia tuView attachment 3556502
Nasikia hivi visiki leo vinaanza, naiona klini shiti ileeee...... tutapga hiyo SPG sijui PSG mpk ichakaee.
Unajifanya umesahau ulivyokuwa Unaongea Jamaa alipokataa kurudi?Kisukari kimetoka wapi tena
Hawa jamaa wakianza bc ushindi mapema tuu 😂View attachment 3556502
Nasikia hivi visiki leo vinaanza, naiona klini shiti ileeee...... tutapga hiyo SPG sijui PSG mpk ichakaee.
Niliongea nini?Unajifanya umesahau ulivyokuwa Unaongea Jamaa alipokataa kurudi?