Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

🤣🤣🤣 Ila michezaji ya Chelkenge ina ufala mwingi sana, ikishafika mbele inalainika utafikiri imepakwa mafuta ya nazi kwenye masabuli.
Kenge kabisa nyinyi.
 

Attachments

  • 1747661742053.jpg
    1747661742053.jpg
    98.7 KB · Views: 12
Pedro neto h mechi alikuwa anarukaruka tuu ila hii red card ameonewa
 
Kushindwa kwa Chelsea hayapo kwa Liam Rosenior.

Wachezaji hawa wanazima data uwanjani kila mara - faulo za kipumbavu, sifuri, na Neto anafanya faulu na kupewa kadi ya njano mbili ndani ya dakika tatu.

Kushindwa kuifunga timu dhaifu ya Arsenal inasema yote.
Je, kocha huyo wa set pieces analipwa ya nini? Tulikuwa na kona 10 na tukafunga bao moja. Walikuwa na kona 5 na kufunga mabao mawili.
 
Sioni kosa la Liam Rosenior kwenye hizi mechi Chelsea anaboronga
Naona tu wachezaji wa Chelsea masihara hapa na pale
Faulu za kijinga jinga tu bila kuchukua tahadhari
Neto ndani ya dk 3 kadi mbili za njano
Chelsea imeshindwa kuifunga timu dhaifu ya Arsenal
Wachezaji wa Chelsea ni wasanii sana
Wanpotakiwa kuchukua hatua hawafanyi maamuzi
Kona za kijinga unafungwa kiasi hicho, huyo kocha wa set pieces anakula mshahara wa bure tu
Sioni kipya kocha alichokuja nacho ni maresca V2 unless uniambie wachezaji wote ni below average
Na kama uwezo wake wa kuhamasisha wachezaji ndio huu basi tunamaliza chini ya Brentford
 
Arsenal dhaifu walicheza 12 na kuwafunga Chelsea ambao kwa kweli hawako serious. Sijui hata wachezaji wanawaza wanataka nini kwenye hii ligi

Arsenal man of the match huyu hapa: anaitwa Darren England
1772390780311.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom