Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,046
- 27,431
Kuna kitu watu wanashindwa kuelewa. Hakuna timu inaweza kuwa na quality pkayers sample ya Palmer, Enzo, Caicedo, James au Colwill na wakaishia kukaa benchi. Tatizo lililopo wale tunaotegemea kama bench warmer wakipata nafasi ya kucheza ndio wabovu zaidi.
Yaani gap kati ya Quality players na average player ni kubwa ndio maana tunaona wakianza kina Cucurella wakaja kutoka timu inaelemewa.
Yaani gap kati ya Quality players na average player ni kubwa ndio maana tunaona wakianza kina Cucurella wakaja kutoka timu inaelemewa.