Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii ndo raha ya EPL

Mzunguko wa pili mambo hua tofauti sana, tusishangae wolves akabaki Kwenye ligi.
 
Mathematically wanaweza ila logically hawataweza
Mechi 9 bado
Wakizidi sana watashinda mechi 3
Droo 2
Kufungwa 5
Points 11
Jumla ya points 13+11 = 24
Rival wao wa kushuka daraja kati ya wawili mmoja tayari ana points 25 ambao ni Westham
Wolves sasa hivi wao wanacheza EPL for fun only
 
Kesho Mazagazaga fc kama kawaida yetu kuruka ruka na kukanyagana uwanjani. kipigo hakikwepeki.
ARsenal nimewaona game yao kiukweli ni wagumu sana. Ila hiyo sio ngao pekee itakayofanya tushindwe. Tunahitaji kutumia vizuri chance tunazotengeneza otherwise tunaenda kumtengenezea njia nzuri kubeba ubingwa kitu ambacho kwetu sio story nzuri kabisa
 
Bahati nzur kesho mimi sitaweza kuangalia hii gamu kwa sababu za kiufundi 😂 🤣
 
Wanaugumu gani bana we, viazi tu hao.game zote tumecheza nao tunawatawala kila kitu isipokua tu kushinda,wanapata kona zao za vurugu zile wanashinda.
Hao viazi wako wanaingia safari hii wanataka kushinda game, hiyo ndio hukumu yao. Wakufunguka tu wanaacha mapaja wazi.
 
Bahati nzur kesho mimi sitaweza kuangalia hii gamu kwa sababu za kiufundi 😂 🤣
Aah acha uoga utakuja kushangaa Chelsea akapata matokeo mazuri unajua hata hao wachezaji wanajua umuhimu wa hii game si dhani watakubali waache point 3 na wanajua kushinda hii game nikutoa statement kwa PSG
 
ARsenal nimewaona game yao kiukweli ni wagumu sana. Ila hiyo sio ngao pekee itakayofanya tushindwe. Tunahitaji kutumia vizuri chance tunazotengeneza otherwise tunaenda kumtengenezea njia nzuri kubeba ubingwa kitu ambacho kwetu sio story nzuri kabisa
Mechi zote tulizokutana hivi karibuni Chelsea kapiga mpira mkubwa zaidi ya Arsenal ila kinachotucost nikutotumia nafasi vizuri
 
Asante kwa kuliona hilo, ni uzembe wa wachezaji wetu kutokua makini wanapambana halafu wanakuja kufungwa kizembe kbs. ila sio kwamba eti hao viazi ni wakaaali kama anavyosema jamaa.
 
Wanetu kazeni matracle mshinde, wafungeni hawa mbwa Arsenal..

Kikosi kiko poa ila beki mko uchi kabisa... hakuna kitu...

Kazeni basi !
 
Average age ya kikosi cha Arsenal kilichoanza leo ni miaka 26. Average age ya kikosi cha Chelsea ni miaka 23.

Si ajabu hiki ninachokiona leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom