lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,742
- 26,037
Kwa uchezaji huu hatutawaweza Arsenal maadam tu refa na VAR wao wanaona sawa
Wachezaji wanashikwa wasisogee na mbaya zaidi Declan Rice pamoaj na kumkamata Hato asiucheze huo mpira wa kona, alidhubutu pia kupiga kwa mkono ili tu aondoe kwa Hato na VAR wao wakanyamazia