Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,627
- 19,954
Mkuu tafuteni mda mje ofisini kwetu pale Sobha center tunapopigaga tizi mje tuyajenge tuwalegezee kidogo🤠🤠.... Unajua sasahivi naona hakuna upinzani Tena ila tunaingia uwanjani tyri na matokeo yetu mfukoni....nawakumbusha tu bdo FA cup tunakutana Tena....na UEFA kule labda mfike fainali....kitu ambacho ni ndoto za alinacha....poleni majirani🤠ðŸ¤
Si unaona amemkumbatia ni mkewe huyo?So hii maana yake nini? Penati au?
Tutakuja jirani mtupe na mbwinu za kuwahonga marefa.Mkuu tafuteni mda mje ofisini kwetu pale Sobha center tunapopigaga tizi mje tuyajenge tuwalegezee kidogo🤠🤠.... Unajua sasahivi naona hakuna upinzani Tena ila tunaingia uwanjani tyri na matokeo yetu mfukoni....nawakumbusha tu bdo FA cup tunakutana Tena....na UEFA kule labda mfike fainali....kitu ambacho ni ndoto za alinacha....poleni majirani🤠ðŸ¤
Timu yenu yenyewe ni mbovu kiujumla sio Delap pekeeView attachment 3551561
Arsenal wamebebwa ila hata sisi ni misukule tulitakiwa tuwatandike hivyo hivyo na refa wao, tulikua tumeshawaziba pumzi kbs. kuwa na michezaji mi senge senge kama Delap!! ndio imetufikisha hapa, angekua Jackon hapo.
View attachment 3551561
Kwani Arsenal kuna wachezaji humo, au wanamileka?Timu yenu yenyewe ni mbovu kiujumla sio Delap pekee
Ww kijana Huwa una mikwara sana kabla hatujakutana ila sasa tukishakutana baada ya hapo ni sababu unaanza kutengeneza🤠🤠....jengeni timu yenu kwa Miaka kama mitano mbele halafu ndo mje sasa tukipige.....Bora Manunu Huwa wanatuotea mara mojamoja...ila na wale madunduka tunawatengenezea dawa Yao mujarabu.....Kwani Arsenal kuna wachezaji humo, au wanamileka?View attachment 3551798
Sasa kama hakuna wachezaji mbona mmeshindwa kuifunga hata mara moja tu katika mara zote 4 mlizokutana nayo msimu huu 😅Kwani Arsenal kuna wachezaji humo, au wanamileka?View attachment 3551798
Kwani Arsenal kuna wachezaji humo, au wanamileka?View attachment 3551798
Chelsea haikucheza vizuri na Arsenal hawakucheza vizuri ila Chelsea ilitengeneza angalau nafasi ambazo mbili Raya aliokoa na zaidi ya mbili tulipotezaKwani Arsenal kuna wachezaji humo, au wanamileka?View attachment 3551798
Haya basi nendeni mkaifunge Villa hizo goli 5 tuone.Chelsea haikucheza vizuri na Arsenal hawakucheza vizuri ila Chelsea ilitengeneza angalau nafasi ambazo mbili Raya aliokoa na zaidi ya mbili tulipoteza
Ilitakiwa hawa tuwababu goli 5. Bais tu timu yetu haiko serious
Sababu gani nimetengeneza mzee?! mbona dunia nzima imeona, au unafikiri mpira mliuangalia peke yenu, mnakua kama chimama anabisha mpk vitu ambavyo vipo wazi kabisa kinakwambia ni AI😂😂😂Ww kijana Huwa una mikwara sana kabla hatujakutana ila sasa tukishakutana baada ya hapo ni sababu unaanza kutengeneza🤠🤠....jengeni timu yenu kwa Miaka kama mitano mbele halafu ndo mje sasa tukipige.....Bora Manunu Huwa wanatuotea mara mojamoja...ila na wale madunduka tunawatengenezea dawa Yao mujarabu.....
Arsenal kuna "wachezaji wanamileka" , au itoe hapo.Kwani Arsenal kuna wachezaji humo, au wanamileka?View attachment 3551798
Hujaona uporaji uliofanyika?!Sasa kama hakuna wachezaji mbona mmeshindwa kuifunga hata mara moja tu katika mara zote 4 mlizokutana nayo msimu huu 😅
Tutawezaje kuwafunga kwa mchezo mchafu kama huu. Unamkamata mchezaji ili asiruke, asimove. Ni mchezo wa mieleka peke yake ndio inachezwa bila kuruka wala kusogea.Davids Raya kaonekana shujaa wa Arszenal kwa sababu mabeki wao wako busy kuwakamata wachezaji wa Chelsea walio kuwa kwenye mkao wa kuruka na kufunga magoli. Nadhani hii ni tactoics aliyowapa wachezaji huyo kocha mchafu Arteta kwa sababu ni kila mchezaji wa Chelsea kamata kamata na refa naye legend wa ArsenalSasa kama hakuna wachezaji mbona mmeshindwa kuifunga hata mara moja tu katika mara zote 4 mlizokutana nayo msimu huu 😅