Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Epl hakuna mnyonge. .... intensity iko juu sana ! Ndio maan ni league best in the world!
Poleni majirani, sisi tunafurahi tukiona kibanda cha mwenzetu kinaungua
Hawa Burnley ni wabovu kupita kiasi. Tumeshindwa kuwafunga basi tena, hizi mechi 11 zilizobaki ndio zitakuwa rahisi kweli?
  1. Arsenal
  2. Aston Villa
  3. Newcastle United
  4. Everton
  5. Manchester City
  6. Manchester United
  7. Brighton & Hove Albion
  8. Nottingham Forest
  9. Liverpool
  10. Tottenham Hotspur
  11. Sunderland
 
Tatizo wachezaji waliacha kukaza baada tu ya kufunga goli. wamekuwa legelege sana. Sub ya Tosin ilikuwa ya kipumbavu sana. Hakukuwa pia na haja ya sub ya Josh kwa James.
Halafu akamalizia sub yake na DELAP!! dah!
Kocha kazingua sana eti analinda goli kwa kupaki basi agaist Bunley!! Aisee kazi tunayo.
 
Kumbe tunakutana na Arsenal wote tukiwa wachovu wa relagation teams
Arsenal walidroo na Wolves wachovu wa mwisho kwenye ligi
Chelsea imedroo na Burnley wachovu wa pili kutoka mwishoni mwa ligi
 
😂😂😂 Kenge za darajani zimeanza kuharisha damu.
Hivi wazee mpo serious kweli na top 4 au mmeridhika wenyewe na conference league?
Kwa hii fixtures yenu ya kumaliza naona kabisa mna kila dalili ya kumfukuza kocha.
 
Attachments

  • 1713782188650.jpg
    1713782188650.jpg
    159.9 KB · Views: 17
😂😂😂 Kenge za darajani zimeanza kuharisha damu.
Hivi wazee mpo serious kweli na top 4 au mmeridhika wenyewe na conference league?
Kwa hii fixtures yenu ya kumaliza naona kabisa mna kila dalili ya kumfukuza kocha.
Kocha hadi sasa hajapoteza mechi za ligi, kila mtu atashinda mechi zake, wew ena timu yako je?
 
EPL kweli ni ngumu ila sio kwa mechi hii ni vile tu siku hizi mediocre players wamejaa kwenye timu zinazojiita za daraja la juu
Sahihi mkuu .... sijui ni ngekewa ama ni nini .... wachezaji wa kawaida sana wapo hizi timu zetu kubwa
 
Hawa Burnley ni wabovu kupita kiasi. Tumeshindwa kuwafunga basi tena, hizi mechi 11 zilizobaki ndio zitakuwa rahisi kweli?
  1. Arsenal
  2. Aston Villa
  3. Newcastle United
  4. Everton
  5. Manchester City
  6. Manchester United
  7. Brighton & Hove Albion
  8. Nottingham Forest
  9. Liverpool
  10. Tottenham Hotspur
  11. Sunderland
Ni kweli mna fixture ngumu, ila Epl haitabiriki...unaweza kuvuna points kwenye mechi ngumu, zile nyepesi ukabanwa mbavu
 
Kocha hadi sasa hajapoteza mechi za ligi, kila mtu atashinda mechi zake, wew ena timu yako je?
🤣🤣🤣 Mkuu ile nafasi ya pili sisi tunaitaka kwa udi na uvumba, haiwezekani Arsenyau msimu wa 4 mfulululizo wanaitia unajisi hio nafasi halafu sisi tunawaangalia tu.
Niliwategemea ndugu zangu mpambane walau hata mchukue nafasi ya 3 ili Arsenyau apambanie nafasi ya 4 ila nawaona kabisa mnaniangusha.
 
Arsenal bingwa hata kama hatupendi
City wachovu
Aston Vila wako hapo kimakosa
Man United nguvu ya soda
Chelsea watoto bado hawajakua
Liverpool wamelogwa
Sasa kwa nini Arsnal wasibebe ndoo mwaka huu?
 
Arsenal bingwa hata kama hatupendi
City wachovu
Aston Vila wako hapo kimakosa
Man United nguvu ya soda
Chelsea watoto bado hawajakua
Liverpool wamelogwa
Sasa kwa nini Arsnal wasibebe ndoo mwaka huu?
🤣🤣🤣 Lembu amka haraka uende chooni kabla haujajikojolea.
Hayo maneno yako mashabiki wenyewe wa Arsenyau wanakushangaa, sio bure wewe itakua Castr amekupea energy drink, hizi sio akili zako kabisa.
 
Attachments

  • 1710749783560.jpg
    1710749783560.jpg
    89.5 KB · Views: 15
kocha wa chelsea kama anapendelea zaidi kwenye mido kuanza na santos na caicedo kama base basi inabidi mmoja kati ya enzo na palmer atokee benchi.
 
🤣🤣🤣 Lembu amka haraka uende chooni kabla haujajikojolea.
Hayo maneno yako mashabiki wenyewe wa Arsenyau wanakushangaa, sio bure wewe itakua Castr amekupea energy drink, hizi sio akili zako kabisa.
Sijasema Arsenal ni wazuri, ila timu zote za top 4 ambazo zingegombea ubingwa ni wachovu na kwa sababu huyo mchovu Arsenal ameshawatangulia wenzake inaweza ikawa ngumu kumtoa hapo juu
Ndio maana Paul Scholes akasema
"Ikiwa Arsenal watashinda ligi, hii inaweza kuwa timu mbovu zaidi kushinda ligi."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom