Halafu akamalizia sub yake na DELAP!! dah!Tatizo wachezaji waliacha kukaza baada tu ya kufunga goli. wamekuwa legelege sana. Sub ya Tosin ilikuwa ya kipumbavu sana. Hakukuwa pia na haja ya sub ya Josh kwa James.
Kocha kazingua sana eti analinda goli kwa kupaki basi agaist Bunley!! Aisee kazi tunayo.