Joao Pedro
Senior Member
- Oct 21, 2025
- 173
- 218
😀😃😄
😀😃😄
Kenge ni KengeUnpata picha gani hapa
View attachment 3530171
Chelsea pia pamoja na kumsajili CB wanataka kumsajili kiungo au mshambuliaji fursa ikiruhusu katika dirisha hili la January 2026Chelsea wako kwenye hatua za juu za kutaka kumsajili Jérémy Jacquet katika dirisha hili la Januari, na mawasiliano ya awali tayari yamefanyika
Wasifu wake
Sifa za ziada:
- Jina:Jérémy Jacquet
- Tarehe ya Kuzaliwa: 13 Julai 2005
- Umri: Miaka 20
- Uraia: Ufaransa (asili ya Guadeloupe)
- Mahali alipozaliwa: Bondy, Ufaransa
- Urefu: 1.90 m
- Mguu anaotumia zaidi: Kulia
- Namba ya jezi: 97 (Stade Rennais)
- Nafasi Anayocheza: Beki wa kati (Centre-Back)
Kwa urefu wake anamudu sana mipira ya juu
Uwezo wa kupambana ardhini na hewani
Ni mtulivu na anjua kuusoma mchezo
Maamuzi mazuri kwa umri wake
View attachment 3530869
Umeona sajili zake huko !!?THE BLUES ilishafika mwisho wa lami sasa hivi inakula rafu road
Wachezaji wazuri wanachukuliwa na timu zingine tu, Semenyo yuleee,basi chukua namba tisa ya Brentford ile lakini wapiKama kawaida yetu usajili wa mazagazaga kujaza kikosi
Akifunga dhidi yetu leo, Igor Thiago anaweza kabisa kuwafanya wamiliki wa Chelsea waanze kumfikiria kwa usajili. Tayari amefunga mabao 16 katika mechi 21 alizoanza Brentford; mabao manne tu nyuma ya Haaland aliyefunga 20 katika mechi 21.Wachezaji wazuri wanachukuliwa na timu zingine tu, Semenyo yuleee,basi chukua namba tisa ya Brentford ile lakini wapi
Ngoja tuoneAkifunga dhidi yetu leo, Igor Thiago anaweza kabisa kuwafanya wamiliki wa Chelsea waanze kumfikiria kwa usajili. Tayari amefunga mabao 16 katika mechi 21 alizoanza Brentford; mabao manne tu nyuma ya Haaland aliyefunga 20 katika mechi 21.
Ebu mcheki hap Tosin kwenye build up ya Brentford, mzigo mzito sana. Robert Sánchez analazimika kuiokoa Chelsea kutokana na beki wake mwenyewe; Tosin amekuwa mzigo mkubwa kwa kikosi na anawaweka kwenye hatari mara kwa mara.Tunaongoza HT kwa 1-0 ila tumeshushiwa mishale kama nyuki. UZembe wa Brentford na umahiri wa Caicedo ndio umetuokoa
Leo James na Palmer hawako mchezoni, Tosin ni spana mkononi, muda wowote atatutosa
ningemshauri Rosenior afanye mabadiliko aingie Santos badala ya Palmer, Enzo aende mbele.