Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nataka tucheze kwa nguvu dakika kumi za kwanza

Watu wanakubandua dakika ya saba
 
Na kila siku hua nasema

Hakuna siku Cucurella kacheza dhidi ya Arsenal akaperform. Lazima tupate goli kutoka upande wake
 
Kama kwenye kibanda chenu mmeruhusu tatu mkifika fly Emirates itakuaje wanetu
 
Chelsea 2-3 Arsenal kwenye nusu fainali ya Carabao Cup.

Kwa kweli matokeo si mabaya ukizingatia Arsenal wamecheza na kikosi chao cha kwanza full lineup, wakati sisi Chelsea tumekuwa bila wachezaji muhimu hata kwenye benchi. Kwa hali hiyo, kweli ulitegemea Marc Guiu afunge na Acheampong amzuie Timber, Rice na Martinelli?

1768428129149.png
 
Mpaka tuseme. Tutaendelea kushonwa kisawasawa.
Levi Colwill tayari hatuna na leo hawa hawakuwepo, mlitaka kocha aingie acheze mwenyewe
Hakukuwa na Cole Palmer, Reece James, Jamie Gittens, Malo Gusto, Moises Caicedo, Liam Delap
Arsenal walichezesha kikosi chao kamili. Naamini wakiwemo wachezaji muhimu na tukacheza kama leo na Sanchez akaacha ukichaa wake tutaifunga Arsenal hata nyumbani kwao
 
Sanchez ka reset nyuma kama alivyoanza na Maresca, huyu sijui kama atamvumilia na tukujua kuwa Mike Penders anarudi darajani msimu ujao
 
Hakuna Cole Palmer, Reece James, Jamie Gittens, Malo Gusto, Moises Caicedo, Liam Delap

Chelsea vs Arsenal

4-2-3-1

------Marc Guiu--------

Neto --- Joa Pedro -- Estevao

--Enzo ---Santos--

Cucurella--Chalobah--Fofana--Josh

----------Sanchez---------
Subs:
1) Jourgensen
2) Badiashile
3) Tosin
4) Hato
5) Esugo
6) Buonanotte
7) Garnacho
8) George
9) Mheuka
Sababu ya kutocheza jana

1) Cole Palmer - - Had a minor thigh strain; the game came too early for him. Expected back in training on Friday.
2) Reece James - Had a painful knock on his hip; it was too sore for him to play.
3) Jamie Gittens - fell sick (Fever/high temperature) the night before kickoff
4) Malo Gusto - He was ill
5) Moises Caicedo - Suspended
6) Liam Delap - fell sick (Fever/high temperature) four hours before kickoff
 
Ndo ivo kijana wetu Cole mabaridi ameshakuwa injury prone? Mna kumbukumbu lini mara ya mwisho amecheza mechi 10 consecutively ??? Sitaki kuzungumzia kiwango chake hata hzo mechi mbili moja wodini......

Hamna timu hapa.... kocha tapeli huyu, bora mngebaki na kichwa ngumu maresca alikuwa ameshaanza kuweka mifumo na miundo flani flani
 
Levi Colwill tayari hatuna na leo hawa hawakuwepo, mlitaka kocha aingie acheze mwenyewe
Hakukuwa na Cole Palmer, Reece James, Jamie Gittens, Malo Gusto, Moises Caicedo, Liam Delap
Arsenal walichezesha kikosi chao kamili. Naamini wakiwemo wachezaji muhimu na tukacheza kama leo na Sanchez akaacha ukichaa wake tutaifunga Arsenal hata nyumbani kwao
Mkuu hata wangekuwepo hao wachezaji tungefungwa tu na Arsenal. Kuna mechi tumecheza na Arsenal wapo hao wachezaji na bado tukashindwa kupata points. Sababu ni nini wamiliki hawaumii kama sisi tunavyoumia wao wanaangalia zaudi biashara yao. Kuanzia maandalizi ya timu na maono yao kwa makocha na wachezaji haileti mwanga kwamba kuna siku za neema tuzingojee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom