lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Kingine kuwatumia wachezaji ambao Marseca aliwakataa kabisa kwa sababu zake binafsiHiki ndicho nimekiona style ya uchezaji ya Liam Rosenior haina utofauti na ya maresca ni vile vile ila utofauti wake upo kwenye utekelezaji ya Liam Rosenior ipo sharpness matukio kwa haraka bila kukaa na mpira muda mwingi, risk passes (uthubutu wa kupiga pass za mbele), nimeona pia wachezaji wanapiga sana nje ya box,mpira wake upo direct.
1) Jorrel Hato
2) Estevao Willian
3) Jamie Gittens
4) Filip Jorgensen
5) Andrey Santos
6) Marc Guiu
Hao wachezaji watacheza sana na viwango vya vitapanda sana
Anajua kushawishi man to man nje ya uwanja na ndani ya uwanja
Ndio maana kuna jamaa mmoja alisema hivi
"Sitaki kumuona Liam Rosenior karibu na mwanamke wangu, ana mazungumzo matamu kupita kiasi" 🤣🤣🤣
Liam Rosenior ana kipaji halisi ya kuonghea maneno matamu, yenye kushawishi; aina ambayo inakufanya ukubaliane naye papo hapo. Yeye kimsingi ni mcheshi sana.