Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mlichopata jana ni ile new manager bounce. It explains ni kivipi mliafford kupata magoli mawili na mkaamini yule dogo ni mzuri mkampa namba game dhidi ya Brentford.

But we all know y'all are shit. Lampard bado begi la nguo kaliweka standby.
 
Arsenal mlichoambulia jana ni dakika 96 mkizurura kwenye mapori ya West Bridgford kama watalii wasio na Google Maps, na hamkuweza kupata njia ya kutoka. Bado mkiwa mmechanganyikiwa, mkitafuta “bounce‑back” ambayo haikuwahi kufika. Mwishoni, mlisherehekea tu clean sheet nyingine. Hongereni sana. Leo Aston Villa wanashinda na kufanya gape kuwa 4 points. Nightmare ya Man City inafifia anakuja monster wa Villa Park
 
Inabidi uwe haujui mpira kiasi kikubwa mno ili ulichoandika ukiamini kwa nguvu zote.

Mpira siyo hisia. Kuna takwimu. Kuna observation. Kuna historia.

Tumia hivyo vikuongoze.
 
Inabidi uwe haujui mpira kiasi kikubwa mno ili ulichoandika ukiamini kwa nguvu zote.

Mpira siyo hisia. Kuna takwimu. Kuna observation. Kuna historia.

Tumia hivyo vikuongoze.
Wewe huo utumbo unaoandikaga ndii much know sana eh! Arse Anal
 
Hehehe iangalie timu yako ikipambana kupata nafasi ya CL.
We jamaa kamdomo ni kareeefu kila mahali upo, yaani umeshajiaminisha Arsenal wanabeba kombe!! Punguza pupa Arsenal haiwez kuambulia chochote. Tunza hii.
 
Hehehe iangalie timu yako ikipambana kupata nafasi ya CL.
Wakati ule Arsenal mkihemea nafasi ya 8 na europa nyingi mmeshiriki mmeshindwa kuweka impact, hii misimu miwili ya CL ndio mnajiona mabingwa wa mara zote wa PL na UCL, timu yenyewe ya kugangia njaa tu, ikipita msimu huu mbebe kombe msibebe mtateseka sana huko mbeleni.

Arsenal vs Chelsea — Ulinganisho wa Misimu​

Arsenal Chelsea
2005–2014 ukame wa makombeChelsea walishinda makombe mengi: EPL (2005, 2010), UCL (2012), UEL (2013), FA Cups
2007/08 kuporomoka mwishoniChelsea walimaliza 2, wakafika fainali ya UCL
2011 – kipigo cha 8–2Chelsea walimaliza 2, msimu thabiti bila kombe
2013 – kufungwa fainali ya Carling CupChelsea walishinda Europa League
2015–2017 kuporomoka kwa enzi ya Wenger2015/16 Chelsea walimaliza 10 (shida), 2016/17 wakashinda EPL
2016/17 – nafasi ya 5Chelsea walishinda Premier League
2017/18 – nafasi ya 6Chelsea walimaliza 5 , wakashinda FA Cup
2018/19 – kupoteza fainali ya EuropaChelsea waliwafunga Arsenal na kushinda Europa League
2018/19 – nafasi ya 5Chelsea walimaliza 3 + wakashinda Europa League
2019 – Emery kufukuzwaChelsea walimaliza 4 chini ya Lampard
2019/20 – nafasi ya 8Chelsea walimaliza 4 + wakafika fainali ya FA
2020/21 – nafasi ya 8Chelsea walishinda Champions League
2021 – kukosa Ligi za UlayaChelsea walimaliza 3 + wakafika fainali mbili
2022/23 kuporomoka kwenye mbio za ubingwaChelsea walimaliza 12 - Timu kuuzwa na mabadiliko makubwa ya kimfumo, kiuongozi na wachezaji
2023/24 kupoteza ubingwa siku ya mwishoChelsea walimaliza 6
2024/25 kutolewa UCL na BayernChelsea walishinda Conference league na FIFA Club World Cup
 
We jamaa kamdomo ni kareeefu kila mahali upo, yaani umeshajiaminisha Arsenal wanabeba kombe!! Punguza pupa Arsenal haiwez kuambulia chochote. Tunza hii.
Angalau naongea ukweli. At the mean time iangalie timu yako ikipambana kupata nafasi ya CL
 
Angalau naongea ukweli. At the mean time iangalie timu yako ikipambana kupata nafasi ya CL
1768729739895.png
 
Chelsea jana haikucheza vizuri sana
Ubora wa Sanchez na kukosa umakini kwa wachezaji wa Brentford ndio iliyotupa point 3, goli mbili na clean sheet jana

Hata hivyo kocha mzuri ni yule anayeshinda mechi hata kwa hali ngumu
Nakuapia angekuwa Enzo Maresca hii mechi angeshindwa asubuhi na ampema kwa sababu ya ufahidhina wake kwenye kupanga timu na kufanya sub. Na pia ni mfahidhina kwenye player roles uwanjani.
Simsifii kwa sababu ni mapem,a mno ila namuona Rosenior akifanikiwa zaidi ya Maresca Chelsea. Tusubiri tuone
1768730666360.jpeg
 
Kuna tetesi PSG wanamtaka Enzo Fernandez mwisho wa msimu.

Kama mtakumbuka juzikati nilisema kitu kuhusiana na biashara wamiliki wa club. Hapa PSG anaenda kupigwa mpunga mrefu sana na kama itashindikana kuuzwa, Enzo ataenda kuwa mfia timu kwa sababu ana mkataba mpaka 2032.

Tunaleta mapenzi kwenye biashara za watu
 
Ni kweli PSG na Real Madrid wanamtaka Enzo Fernández. Nasikia PSG wako tayari kutoa hadi €150 milioni. Sijasikia bado kama wamiliki wa Chelsea wameweka bei au wanataka kiasi gani.

Enzo amekasirika kwa sababu kocha wake kipenzi, Enzo Maresca, ameondoka Chelsea — siyo kwa sababu ya biashara au maamuzi ya wamiliki kama wengine wanavyodai.

Kati ya wachezaji wote walionunuliwa kwa ajili ya mradi wa muda mrefu, nguzo kuu zilikuwa Enzo Fernández na Moisés Caicedo. Hao wawili hawakununuliwa kwa sababu ya biashara ya kuuzwa.

Ni kweli wamiliki wana mapungufu, na malengo yao ya muda mrefu hayakubaliki kwa mashabiki wengi — nami nikiwemo — lakini kuna upotoshaji mkubwa kuhusu mfumo mzima wa mradi wa Chelsea. Wamiliki wanataka kujenga timu yenye ushindani wa kubeba makombe makubwa kwa miaka mingi, huku wakihakikisha mfumo wa uendeshaji unakuwa endelevu. Wale waliowahi kusoma au kufanya kazi kwenye miradi ya maendeleo wanaelewa vizuri dhana ya uendelevu.

Klabu nyingi kubwa Ulaya zinaporomoka kifedha kwa sababu hazijiendeshi kwa faida. Chelsea ikiwa na nguvu ya pesa inaweza kusajili vipaji vyovyote duniani, lakini hilo linawezekana tu kama klabu haiendeshwi kwa hasara. Kwa hiyo kama Enzo Fernández ataondoka kwa sababu ya kutoridhika, hakuna wa kumlaumu. Ataondoka yeye, atakuja mwingine.

Shida inakuja hata mimi naweka walakini ni kusisitiza malengo ya muda mrefu huku malengo ya muda mfupi na wa kati wameacha kuweka ambako mashabiki wengi ndiko wanakotaka. Kusubiri Chelsea ianze kubeba makombe baada ya miaka miatno hadi 10 hakuna mtu ambaye yuko tayari kusubiri huko ni mbali sana.
 
Wamiliki wanataka kujenga timu yenye ushindani wa kubeba makombe makubwa kwa miaka mingi, huku wakihakikisha mfumo wa uendeshaji unakuwa endelevu. Wale waliowahi kusoma au kufanya kazi kwenye miradi ya maendeleo wanaelewa vizuri dhana ya uendelevu.
Dhana ya uendelevu au maono ya wamiliki naitilia mashaka kutokana na kinachoendelea. Ukitaka kujenga timu ya ushindani mbeleni ni lazima kuna vitu usacrifise kufikia hayo malengo.

Wamiliki wameshindwa kuacha kocha awe huru na timu yake kiasi wanataka wawe wanaingia mambo mengi ya wachezaji. Maana yake wakiona kocha anafanya jambo ambalo litaenda kinyume na biashara yao iwe rahisi ku interfere kulinda msingi wao.

Kwa hapo tu hiyo project waliyonayo siioni ikitekelezeka. Kwasababu tutakua tunaenda mbele na kurudi nyuma.
 
Mbn

Mbn pesa nyingi sana!!!?,kwa mnaomjua huyu dogo uwezo wake vipi
Hiyo ni bei ya clabu ya Rennes, Ofa ya sasa ya Chelsea kwa Jérémy Jacquet iko chini ya €65 milioni ambayo Rennes wanaitaka, lakini kiasi halisi bado hakijathibitishwa hadharani. Mazungumzo yanaendelea, na Chelsea tayari wamewatuma wawakilishi kwenda Ufaransa kusukuma dili hilo liendelee.
 
Dhana ya uendelevu au maono ya wamiliki naitilia mashaka kutokana na kinachoendelea. Ukitaka kujenga timu ya ushindani mbeleni ni lazima kuna vitu usacrifise kufikia hayo malengo.

Wamiliki wameshindwa kuacha kocha awe huru na timu yake kiasi wanataka wawe wanaingia mambo mengi ya wachezaji. Maana yake wakiona kocha anafanya jambo ambalo litaenda kinyume na biashara yao iwe rahisi ku interfere kulinda msingi wao.

Kwa hapo tu hiyo project waliyonayo siioni ikitekelezeka. Kwasababu tutakua tunaenda mbele na kurudi nyuma.
Ndg hii model klabu nyingi zilziofanikiwa ndizo zinafuata
Unakumbuka majeruhi ilivyokuwa inaandama sana Chelsea?
Unakumbuka tulivyokuwa tunaionea wivu klabu kama ya Barcelona kwenye kuthibiti majeruhi?
Sasa ni kwa sababu ya huu mfumo ambao Chelsea kwa sasa inatumia
Medical team ndio yenye mamlaka kuhusu muda wa kurudi majeruhi, load management kupitia rotations na usajili wa wachezaji unasimamia na Sporting Directors
Timu zlizofanikiwa kwa kutumia mfumo huu ni pamoja na:
  1. Bayern Munich
  2. Barcelona
  3. PSG
  4. Juventus
Hawa wamiliki walianza kwa kumpa kocha mamlaka tukasajili majina makubwa yakaja kuflop chini ya Tuchel, alipoondoka, hayo matakataka hayakuwafaa makocha waliofuata.
Matakataka mengine yameng'ang'ania na kugoma kupunguza mshahara kama Sterling anakula m,shahara wa bure tu. Je mnataka turudi huko. La hata mimi siungi mkono

Mchezaji mkongwe mwenye kutaka mshahara mkubwa wengi wao wanakuja kuifanya Chelsea a retirement center.

Naunga mkono kusajili wachezaji wazoefu lakini wenye sifa hizi
chini ya miaka 25
Anakubali mshahara mdogo ili asibetweke akija
Au tusajili mchezaji wa umri mkubwa asiye na madhara kama Tosin, alisajiliwa bure na mshahara mdogo hata akitaka kuuzwa inakuwa rahisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom