Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Niliwahi kusema zike mechi tulizokua tunapoteza kwa complications za Maresca gharama yake ndio hii sasa. Tunaanza round ya pili kwa ugumu wakati ambao timu nyingine zimeshapiga hesabu zao sawasawa. Sisi ndio tunakua wagawa point na top four ndio tushatoka