Mabeki wa kati ambao tunaowahitaji na tusiowahitaji
✅Levi Colwill — Beki wa kisasa, anacheza mpira vizuri, mwepesi, anafaa kabisa mustakabali wa Chelsea.
✅Mamadou Sarr — Kipaji kikubwa, mguu wa kushoto, beki mkali na mwenye uwiano mzuri.
✅Jérémy Jackuet — Kiwango cha juu cha uwezo, mwepesi, mwenye nguvu na anasogeza timu mbele.
🔵 Aaron Aneslimno — Bado hajakomaa kwa majukumu ya kikosi cha kwanza kwenye ligi kama ya EPL.
Tunawahitaji lakini sio wa kuwategemea sana
🟨 Wesley Fofana - Ni mzuri akiwa fiti, lakini upatikanaji na uimara wa muda mrefu inatia wasiwasi.
🟨 Trevoh Chalobah — Ni beki mzuri, lakini mtindo wake hauendani na mradi wa sasa.
Wanaweza kuondoka
🔴 Tosin Adarabioyo — Makosa mengi, hawezi kumudu mchezo chini ya presha. Hawezi kumudu 1v1 na ni mzito kurudi kulinda goli akishotoka nje ya eneo la hatari
🔴 Benoît Badiashile — Mzito kugeuka na kufanya tackling, na kwenye high line anateseka sana. anapoteza mipira sana na kuiweka Chelsea kwenye hatari ya kufungwa magoli ya hovyo
Anahitaji Mkopo Zaidi