Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,572
Huyo Palmer kanyolewa na mdogo wake au?
Amesema kuwa timu inayopigania mataji, ukilinganisha na timu ilipotoka. Mbona huelewi simple logic weweIla kwenye makocha waliofanikiwa hawa watoe aiseee Ole Gunnar Solskjær,Julian Nagelsmann & Mikel Arteta. Kupeleka timu big4 ni mafanikio?
Unadhani ni rahisi hayo mafanikio. Kuna timu hazijawahi hata kucheza uefa.Ila kwenye makocha waliofanikiwa hawa watoe aiseee Ole Gunnar Solskjær,Julian Nagelsmann & Mikel Arteta. Kupeleka timu big4 ni mafanikio?
Tofauti na hao waliobeba makombe, Arteta na pia Liam Rosenior wanaikuta timu iko hovyo kabisa, so wanatakiwa kujenga na kuweka mentality ya ushindi, ukatili, kucheza kama timu, nidhamu, mbinu, akili na vitu vingiIla kwenye makocha waliofanikiwa hawa watoe aiseee Ole Gunnar Solskjær,Julian Nagelsmann & Mikel Arteta. Kupeleka timu big4 ni mafanikio?
🤠🤠🤠....unahaha sana mkuu....ngoja anyanyue kwapa msimu huu ndo uelewe show sasa....tunawakumbusha zimebaki siku kadhaa tukutane tenaIla kwenye makocha waliofanikiwa hawa watoe aiseee Ole Gunnar Solskjær,Julian Nagelsmann & Mikel Arteta. Kupeleka timu big4 ni mafanikio?
Mwaka juzi jan tulikuwa namba 10 wakati wa JanuariNiliwahi kusema zike mechi tulizokua tunapoteza kwa complications za Maresca gharama yake ndio hii sasa. Tunaanza round ya pili kwa ugumu wakati ambao timu nyingine zimeshapiga hesabu zao sawasawa. Sisi ndio tunakua wagawa point na top four ndio tushatoka
HeheheArsenal wameshnaglia hii droo kwa kishindo duniani kote kuliko hata Chelsea
Kupeleka timu big4 ni mafanikio gani?! Ni utapeli, kama ni hivyo angeorodhesha makocha wote ambao walishapeleka timu big4.Unadhani ni rahisi hayo mafanikio. Kuna timu hazijawahi hata kucheza uefa.
Kuna hizo timu kubwa kutokushiriki uefa tu inapoteza thamani.
Jiulize pamoja na Arsenal kutokuchukua ubingwa kwa nini bado inakuwa ni timu bora zaidi.
Usikariri sana.
Mbona kila timu inaenda kwnye mashindano kushindania mataji?, huyo tapeli kila siku anawadanganya na wameshakua kama mazuzu wake.Amesema kuwa timu inayopigania mataji, ukilinganisha na timu ilipotoka. Mbona huelewi simple logic wewe
Nyie kubeba hamuwezi, kama una hivyo fikra zitoe usije ukapata kisukari mana chance y nyie kukosa ni kubwa kuliko kupata.🤠🤠🤠....unahaha sana mkuu....ngoja anyanyue kwapa msimu huu ndo uelewe show sasa....tunawakumbusha zimebaki siku kadhaa tukutane tena
Uzuri ni kwmba ndani ya siku chache tunawafata pale kwenu🤠🤠🤠....makonzi ya ulimi ni lazima yatembee....Kocha avae miwani au Dera sisi hayatuhusu....kuwadunda kuko palepale....na safari hii atawatungua Kai mikazoNyie kubeba hamuwezi, kama una hivyo fikra zitoe usije ukapata kisukari mana chance y nyie kukosa ni kubwa kuliko kupata.
Ugopa sana kocha anaevaa miwani, mtapgwa mchakae.
Msisahau kwnye kikosi chenu asikosekane Skelly jana game na liva kaupga mwingi sana mpk nikamkumbuka Salah alipaswa awepo jana game ingekua ya moto zaidi.Uzuri ni kwmba ndani ya siku chache tunawafata pale kwenu🤠🤠🤠....makonzi ya ulimi ni lazima yatembee....Kocha avae miwani au Dera sisi hayatuhusu....kuwadunda kuko palepale....na safari hii atawatungua Kai mikazo