Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unazifunga timu 6 au 5 halafu msimu unatoka mikono mitupu!!, sisi hatunaga uvumilivu na matapeli, kama nyie mnavyomvumilia huyo tapeli wenu Arteta.

Maresca kaja kachukua makombe tunafukuza, atakuja mwingine atachukua,Tapeli wenu yupo tu anawadanganya na phase, hivi mpo phase ya ngapi vile?
Kocha wenu ni mbovu acheni kujificha kwenye kivuli cha kikombe uchwara.

Pale United Ten Hag naye alifukuzwa kwa sababu ya matokeo mbaya na sio kwa sababu ya mataji
 
Unazifunga timu 6 au 5 halafu msimu unatoka mikono mitupu!!, sisi hatunaga uvumilivu na matapeli, kama nyie mnavyomvumilia huyo tapeli wenu Arteta.

Maresca kaja kachukua makombe tunafukuza, atakuja mwingine atachukua,Tapeli wenu yupo tu anawadanganya na phase, hivi mpo phase ya ngapi vile?
Swali langu lilitokana na kudai mtahamisha hasira. Unamhamishia nani hasira ukifungwa nane wiki ijayo wakati hujapiga mtu tano una miaka sasa
 
Wewe pambana na Arsennyeto yako ya ngoswe umwachie ngoswe.
Katika kitu kitakupeleka motoni ni kuwapumbaza mashabiki wenzako wa Chelsea.

Maajabu kabisa ni kwamba saa moja na robo utawaambia mna timu bora sana. Saa moja na dakika 20 utawaambia timu inahitaji muda.

Na hawa watu wanakubali.

Lembu moto ni wako
 
CLUB STATEMENT
1767263891829.png
 
mnaofurahia maresca kuondoka mnahisi kocha gani hawa wapuuzi mzuri anaweza kuja zaidi ya kuletewa yule kibaraka wa Strasbourg
 
Ili mambo yakamilike na hao Sporting Director waondoke wanachezea tu hela za tajiri kwa kusain average player
 
Nataka kuona kocha mpya atawapangaje hawa wachezaji bora kuliko wachezaji wa Arsenal na wangapi watajikuta kwa mkopo timu za mikiani.

Caicedo, Lavia na vyura vingine vingine havitacheza akiwepo kocha serious
 
Naona umeamua kuwataja wachezaji unaowakubali kiaina, sawa umesomeka
 
Wachezaji wazuri tu na wataifaa Chelsea kwa muda mrefu
  1. Cole Palmer – 23 yrs
  2. Estevao Willian – 18 yrs
  3. Moises Caicedo – 24 yrs
  4. Enzo Fernandez – 24 yrs
  5. Levi Colwill – 22 yrs
  6. Josh Acheampong – 19 yrs
Wachezaji wazuri kwa sababu hatuna mbadala
  1. Trevoh Chalobah – 26 yrs
  2. Pedro Neto – 25 yrs
  3. Joao Pedro – 24 yrs
  4. Robert Sanchez – 28 yrs
  5. Benoît Badiashile – 24 yrs
Wachezaji wa kubahatisha (ama watakuwa wazuri au tumepigwa)
  1. Alejandro Garnacho – 21 yrs
  2. Jamie Gittens – 21 yrs
  3. Andrey Santos – 21 yrs
  4. Malo Gusto – 22 yrs
  5. Jorrel Hato – 19 yrs
  6. Marc Guiu – 19 yrs
  7. Liam Delap – 22 yrs
Wachezaji wazuri ila hatutakuwa nao muda mrefu
  1. Marc Cucurella – 27 yrs
  2. Reece James – 26 yrs
Wachezaji wazuri ila majeruhi imewanyima kucheza
  1. Romeo Lavia – 21 yrs
  2. Wesley Fofana – 25 yrs
Wachezaji matakataka tu
  1. Tosin Adarabioyo – 28 yrs
Malo gusto mtoe Kwenye Hilo group ni mmoja kati ya mchezaji Bora kabisa tulionae kwenye kikosi na ni mchezaji mwenye consistency nzuri ya performance ni aina ya mchezaji anayefit aina nyingi ya uchezaji
Wachezaji wazuri tu na wataifaa Chelsea kwa muda mrefu
  1. Cole Palmer – 23 yrs
  2. Estevao Willian – 18 yrs
  3. Moises Caicedo – 24 yrs
  4. Enzo Fernandez – 24 yrs
  5. Levi Colwill – 22 yrs
  6. Josh Acheampong – 19 yrs
Wachezaji wazuri kwa sababu hatuna mbadala
  1. Trevoh Chalobah – 26 yrs
  2. Pedro Neto – 25 yrs
  3. Joao Pedro – 24 yrs
  4. Robert Sanchez – 28 yrs
  5. Benoît Badiashile – 24 yrs
Wachezaji wa kubahatisha (ama watakuwa wazuri au tumepigwa)
  1. Alejandro Garnacho – 21 yrs
  2. Jamie Gittens – 21 yrs
  3. Andrey Santos – 21 yrs
  4. Malo Gusto – 22 yrs
  5. Jorrel Hato – 19 yrs
  6. Marc Guiu – 19 yrs
  7. Liam Delap – 22 yrs
Wachezaji wazuri ila hatutakuwa nao muda mrefu
  1. Marc Cucurella – 27 yrs
  2. Reece James – 26 yrs
Wachezaji wazuri ila majeruhi imewanyima kucheza
  1. Romeo Lavia – 21 yrs
  2. Wesley Fofana – 25 yrs
Wachezaji matakataka tu
  1. Tosin Adarabioyo – 28 yrs
 
Mrudishen Potter/pochettino muendelee kuteseka..... maji mtaita mma, wapuuzi kabisa.... kila siku tunawaambia Maresca kichwa box hamsikii.....
 
Enzo Maresca to Man City: Kuna uwezekano kuwa mazungumzo ya Maresca na Man City ilimchanganya akili na sasa kutafuta visingizio vya kuondoka.
1767278232770.png
 
🚨💣 BREAKING: Chelsea na Enzo Maresca wamekubaliana kuachana mara moja. Imefika mwisho.

Taarifa rasmi inatarajiwa kufuata, lakini kila kitu kimekamilika baada ya mvutano kuongezeka ndani ya saa 24/48 zilizopita.

Chelsea sasa inaanza mchakato wa kumtafuta kocha mpya. 🔵🔜

1767279895849.png
 
View attachment 3523727
Enzo Maresca ni mojawapo wa Makocha walioacha kazi Chelsea wakiwa na rekodi nzuri
1) Alikuwa anapendwa na wachezaji
2) Alikuwa akipendwa na mashabiki walio wengi
3) Aliweza kuimudu kikosi kichangta kisicho na uzoefu wa EPL
4) Alishinda makombe makubwa mawili muhula wake wa kwanza na kikosi kichanga na pia alikuwa akielekea kushinda mataji mengi msimu wake wa pili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom