Hiyo record yenu mtakuja kuivunja wenyewe Arse88, sisi city watupige saba tu zinatutosha. Halafu hasira zetu tunajua tutazishushia wapi.Zikifika 8 na wewe una vocha yako
Hiyo record yenu mtakuja kuivunja wenyewe Arse88, sisi city watupige saba tu zinatutosha. Halafu hasira zetu tunajua tutazishushia wapi.Zikifika 8 na wewe una vocha yako
Hahahaha ......... jipambanieni wenyewe jirani, hiyo london always blue tutakutana nayo huko mbele vs Arsenal.Chochote ndo kombe gani mkuu🤠🤠....bwabwaja sana ila tafadhali sana j2 tunaomba sana iwe London is always blue🤠🤠...msituangushe ndugu zetu wazee wa pira singeli
Maresca kosa lake kubwa ni kumuendekeza garasa Caicedo. Hakuna kiungo pale ndio maana tangu asajiliwe hakuna kombe lolote la maana. Ni liability hata aje nani as long as caicedo ndio kiungo timu yenu lazima ipigweKibarua cha Enzo Maresca kiko mashakani kufuatia mfululizo wa matokeo mabovu na sintofahamu inayoendelea kati yake, bodi ya uongozi na wamiliki wa klabu. Hali hii imezua maswali makubwa kuhusu mustakabali wake ndani ya timu.
View attachment 3523327
Haya akitoka Maresca unadhani nani mzuri zaidfi yake wa kumridhiAcha kumtetea kocha ni kizibo, na rotation zake za kipuuzi. Ni kikosi gani anataka tofauti na alichonacho , huwezi ukawa na kikosi chote akina messi.
Hivi unajua City wana wachezaji wa kawaida sana! huyo Doku angekua ndio kanunuliwa chelsea sahizi angekua yupo bench na Estevao wanaprotectiwa, Maresca ana wachezaji wazuri tu ila wale wabovu ndio marafiki zake.
Kocha wa hovyo, pasi nyingii wanapasiana mabeki, kuna moja juzi Estevao alimaindi kashafungua anaita kbs apewe pasi Gusto karudisha kati dah! Niliongea na tv kama ananisikia vile mamaee ila kocha ndio kamfundisha hivyo.
Hivi kuna timu mmeifunga tano kuanzia misimu mitatu nyuma? Na hili swala la kocha wenu kutaka kuondoka unalionajeHiyo record yenu mtakuja kuivunja wenyewe Arse88, sisi city watupige saba tu zinatutosha. Halafu hasira zetu tunajua tutazishushia wapi.
Wewe huna akili ya mpira, watu humu wanakuchora tu na wewe hushtuki hata kidogoYani kocha yoyote atakaye waendekeza caicedo na lavia lazima atimuliwe. Hakuna wachezaji humo.
Wewe pambana na Arsennyeto yako ya ngoswe umwachie ngoswe.Hivi kuna timu mmeifunga tano kuanzia misimu mitatu nyuma? Na hili swala la kocha wenu kutaka kuondoka unalionaje
Unazifunga timu 6 au 5 halafu msimu unatoka mikono mitupu!!, sisi hatunaga uvumilivu na matapeli, kama nyie mnavyomvumilia huyo tapeli wenu Arteta.Hivi kuna timu mmeifunga tano kuanzia misimu mitatu nyuma? Na hili swala la kocha wenu kutaka kuondoka unalionaje
Usiogope kumwacha mwanamke ukihisi hakuna mwanamke duniani mzuri kumzidi.Haya akitoka Maresca unadhani nani mzuri zaidfi yake wa kumridhi
Kocha wenu ni mbovu acheni kujificha kwenye kivuli cha kikombe uchwara.Unazifunga timu 6 au 5 halafu msimu unatoka mikono mitupu!!, sisi hatunaga uvumilivu na matapeli, kama nyie mnavyomvumilia huyo tapeli wenu Arteta.
Maresca kaja kachukua makombe tunafukuza, atakuja mwingine atachukua,Tapeli wenu yupo tu anawadanganya na phase, hivi mpo phase ya ngapi vile?