Afadhali akafanye rotation huko aendako. Haya tuletewe🚨💣 BREAKING: Chelsea na Enzo Maresca wamekubaliana kuachana mara moja. Imefika mwisho.
Taarifa rasmi inatarajiwa kufuata, lakini kila kitu kimekamilika baada ya mvutano kuongezeka ndani ya saa 24/48 zilizopita.
Chelsea sasa inaanza mchakato wa kumtafuta kocha mpya. 🔵🔜
View attachment 3523727
RDZ hawez kuja huyu,Hawezi kubali kuendeshwa na wale SDMakocha hawa hawako kwa sasa hivi kwenye orodha ya kufikiriwa kuwa badala ya Enzo maresca:
1) Roberto De Zerbi
2) Cesc Fabregas
View attachment 3523731
Hamna kocha hapa
Hapo ndipo utaona hatuna wamilikiHaya akitoka Maresca unadhani nani mzuri zaidfi yake wa kumridhi
Kwa atakaekuja aje tuone uwezo wake, kama uwezo ni mdogo kama wa Maresca atupiwe virago. Huwezi jua, hata hao akina Pep waliaminiwa hawakuzaliwa pap wakawa makocha wakubwa.
Nilisema hapa wanaofurahia Maresca kuondoka wanahisi labda kocha atakaekuja atakuwa mzuri kumbe ndio kwanza kama tunqrudi nyuma.Hapo ndipo utaona hatuna wamiliki
Ww ulitakaje jitu lilishafanya mazungumzo na city kwenda kumreplace Guardiola likaanza kufanya vituko ili avunje mkataba ulitaka tuendelee kupata vipigoNilisema hapa wanaofurahia Maresca kuondoka wanahisi labda kocha atakaekuja atakuwa mzuri kumbe ndio kwanza kama tunqrudi nyuma.
Serious sahiv hii team ishakuwa kama ya majaribio.
Next 2 yrs sitoshangaa wakina Palmer, wakiondoka
Mi hata sielewi mtu anavyolalamika kwamba hatutapata kocha mzuri, yaani kanakwamba Maresca alikua bonge la kocha.Ww ulitakaje jitu lilishafanya mazungumzo na city kwenda kumreplace Guardiola likaanza kufanya vituko ili avunje mkataba ulitaka tuendelee kupata vipigo
Issue sio kutompata kopcha mzuri. Wewe uko ulimwengu upi?Mi hata sielewi mtu anavyolalamika kwamba hatutapata kocha mzuri, yaani kanakwamba Maresca alikua bonge la kocha.
Hata kama City watamchukua watajuta. Hatamaliza hata mwaka.
Maresca hakuwahi kutaka “superstar” mmoja wa kutegemewa; falsafa yake ilikuwa kujenga timu yenye wachezaji bora wengi, ili mfumo wake usiegemee mtu mmoja. Alitaka mfumo ambao hata mchezaji mmoja akipata jeraha, akifungiwa au akiwa kwenye kiwango kibaya, timu bado inaendelea kufanya kazi bila kuyumba. Kwa nadharia, hili ni jambo zuri sana—lakini katika uhalisia wa EPL na presha ya klabu kama Chelsea, kutengeneza timu isiyomtegemea mchezaji yeyote ni karibu haiwezekani. Kila timu kubwa duniani huwa na mhimili wake, wachezaji wachache wanaobeba ubora wa kikosi na kufanya mfumo ufanye kazi.Issue sio kutompata kopcha mzuri. Wewe uko ulimwengu upi?
Issue ni wamiliki hawamtaki kocha mzuri bali purpette wa kupewa maagizo fanya hiki fany kile na asibishe
Leo John Terry kasema; Wakati wa Roman Abramoch, makocha hawakuwa wanaombe kuondoka bali walikuwa wakitimuliwa bali kwenye awamu ya hawa wamerakani, Pochettino aliomba kuondoka na sasa Maresca ameomba kuachia ngazi. Huoni kodi hapo?
Huyu Vipi?Maresca hakuwahi kutaka “superstar” mmoja wa kutegemewa; falsafa yake ilikuwa kujenga timu yenye wachezaji bora wengi, ili mfumo wake usiegemee mtu mmoja. Alitaka mfumo ambao hata mchezaji mmoja akipata jeraha, akifungiwa au akiwa kwenye kiwango kibaya, timu bado inaendelea kufanya kazi bila kuyumba. Kwa nadharia, hili ni jambo zuri sana—lakini katika uhalisia wa EPL na presha ya klabu kama Chelsea, kutengeneza timu isiyomtegemea mchezaji yeyote ni karibu haiwezekani. Kila timu kubwa duniani huwa na mhimili wake, wachezaji wachache wanaobeba ubora wa kikosi na kufanya mfumo ufanye kazi.
Ndiyo maana kocha ajaye hawezi kuendeleza falsafa ya “hakuna nyota,” bali anatakiwa kutambua wachezaji muhimu wa kujengea mfumo. Kwa bahati nzuri, Chelsea tayari ina msingi mzuri sana wa kujengea timu imara na yenye ushindani.
Kwanza kabisa, Cole Palmer ndiye anayepaswa kuwa kitovu cha mfumo. Ubunifu wake, utulivu wake na uwezo wa kubadili mchezo unamfanya kuwa mchezaji wa aina adimu. Yeye ndiye injini ya ubunifu ambayo timu inaweza kujengwa juu yake.
Kisha unafuata Estevão Willian, kipaji cha hali ya juu chenye uwezo wa kuwa mmoja wa wachezaji bora duniani katika miaka michache ijayo. Kasi yake, ujasiri wake na uwezo wa kutengeneza hatari pembeni vinampa nafasi ya kuwa sehemu muhimu ya mfumo mpya.
Enzo Fernández naye ni mhimili wa kiungo—mchezaji mwenye akili ya mchezo, pasi za kuvunja mistari na uwezo wa kudhibiti kasi ya mchezo. Kocha ajaye lazima aendelee pale Maresca alipoishia katika kumjenga Enzo kuwa kiongozi wa kiungo.
Reece James, akiwa fiti, ni mmoja wa mabeki wa kulia bora zaidi duniani. Uwezo wake wa kushambulia na kutetea unampa timu sura tofauti kabisa. Ni mchezaji ambaye mfumo wowote wa ushindani unapaswa kumtumia ipasavyo.
Levi Colwill ni beki wa kisasa—mtulivu, mwenye uwezo wa kujenga mashambulizi kutoka nyuma na mwenye kasi ya kukabiliana na washambuliaji wa EPL. Ni sehemu muhimu ya msingi wa muda mrefu wa Chelsea.
Kwa kifupi, kocha ajaye akiamua kujenga timu inayozunguka hawa wachezaji watano—Palmer, Estevão, Enzo, Reece James na Colwill—Chelsea inaweza kuwa timu yenye ushindani mkubwa ndani ya muda mfupi. Hawa ndiyo wachezaji wanaoweza kuwa mhimili wa mfumo mpya, tofauti na falsafa ya kutotegemea mtu yeyote ambayo, kwa mazingira ya EPL, haiwezi kufanya kazi kikamilifu.
View attachment 3523867
Francesco Farioli ndiye Kocha wa pili mwenye umri mdogo zaidi barani Ulaya akiwa na umri wa miaka 36, baada ya Fabian Hürzeler (Brighton) akiwa na umri wa miaka 31.Huyu Vipi?
Mfumo: 4-3-3
- Jina: Francesco Farioli
- Umri: miaka 36
- Uraia: Muitaliano
- Tarehe ya Kuzaliwa: 10 Aprili 1989
- Mahali: Barga, Italia
- Leseni: UEFA Pro Licence
- Ni miongoni mwa makocha vijana zaidi barani Ulaya waliopanda kwa kasi kutokana na falsafa ya kisasa ya mchezo.
Falsafa:
Utendaji (2025/26)
- High pressing
- Ball retention
- Intelligent positional play
- Emphasis on youth development
Kumchukua Porto huyu lazima kulipa Release claus ya Dola za kimarekani mil 13-15 hivi
- Michezo: 17
- Ushindi: 14
- Droo: 2
- Poteza: 1
- Pointi kwa kila mechi: 2.59
- Winning Percentage: 82.4%
Mnasema wapendwa wa Chelsea
View attachment 3523872
Kama Liam Rosenior atateuliwa kuwa kocha mpya wa Chelsea nina wasiwasi Enzo Fernandez anaweza kuwa mhanga mkubwa wa mabadiliko kwa sababu huyu kocha anampenda waziwazi Andrey Santos. Pia kuna uwezekano Diego Moreira akampreplace Jamie Gittens ambaye anaweza kuuzwa Starsbourg. Diego Moreira amekuwa nguzo muhimu pale Starsbourg akiweza kabisa kucheza nafasi ya LB, RWB na RW. Akija Emanuel Emegha na Mamadou Sarr na kuna tetesi pia Valentín Barco kuja kumpreplace Marc Cucurella. kwa maoni yangu mimi Barco anamzidi vitu vingi sana Cucurella ikiwemo workrate uwanjani na kushambulia. Anaonekan kama ni LB wa kizaziz kipya anayeofa vitu vyote uwanjani. Hizi ni tetesi tu🚨 Mashabiki wamekuwa wakiniuliza: endapo Maresca ataondoka, ni nani wanaoweza kuwa chaguo la baadaye? Chelsea wanaonyesha kuvutiwa na Liam Rosenior, ambaye tayari yupo ndani ya kundi la BlueCo na anafanya kazi nzuri sana Strasbourg. Kwa sasa ni suala la kuthamini tu, kwa sababu bado ni Desemba. City wanamthamini Maresca, Chelsea wanamthamini Rosenior kwa sababu wanamfahamu vizuri. (@FabrizioRomano)
View attachment 3523730