juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
😂😂😂 maresca out hongereni sana
😂😂😂 maresca out hongereni sana
😂😂😂 maresca out hongereni sana
Kufukuzwa ni sahihi kbs, ila ishu ni wanaomleta anaweza akawa kilaza zaidi😂😂😂 maresca out hongereni sana
Enzo Maresca hakuondolewa kwa sababu ya poor performance. Kwa kiwango cha makocha waliopita chini ya Wamarekani, bado Maresca atabaki kuwa mmoja wa makocha bora zaidi katika muhula huu.
Tatizo lilikuwa kwenye mgongano wa mamlaka. Maresca alitaka kuwa na uwezo mkubwa wa kubadili maamuzi ya medical team, hasa kuhusu load management. Alitaka pia sauti kwenye player rotation. Lakini wamiliki wa Chelsea wanataka kocha anayefuata sera za mradi wao—kufanya kazi kama timu, kuheshimu mipaka ya kila idara, na kukubali mfumo wa rotation unaolenga kuwaimarisha wachezaji na kuongeza thamani yao sokoni. Rotation nyingi tulizokuwa tunamlaumu Maresca, mara nyingi zilikuwa si maamuzi yake binafsi bali matakwa ya mfumo, ila sisi mashabiki tukawa tunamtupia lawama.
Kulikuwa pia na tofauti kubwa kwenye young player development. Baada ya Levi Colwill kuumia, uongozi ulimtaka Maresca awape nafasi Josh Acheampong na Aaron Anselmino, lakini hakukubaliana nao. Hata kwenye vyombo vya habari alisisitiza kwamba Chelsea inahitaji beki mpya badala ya kutumia vijana hao.
Zaidi ya hapo, Maresca alifanya heavy rotation na load management kwenye mechi dhidi ya Leeds United (tukapoteza), Bournemouth (tukasare), na kipigo cha Atalanta—ikiwa ni njia ya kuwaonyesha wamiliki na sporting directors kwamba Chelsea inahitaji usajili wa Januari. Baadaye akatoa kauli za kejeli kwenye vyombo vya habari akisema hakusaidiwa baada ya kipigo, na kwamba masaa 48 yaliyopita yalikuwa mabaya sana katika taaluma yake ya ukocha na Chelsea.
Kwa kifupi, mgongano haukuwa kuhusu uwezo wake, bali falsafa na mfumo wa uongozi.
Ngoja aende Manchester City akapate mazingira yanayomfaa. Hapo ndipo wengi wataelewa kwamba Maresca ni kocha mzuri—tatizo halikuwa uwezo wake, bali kutokulingana na mfumo wa Chelsea.
View attachment 3523976
Nyie mnamtetea huyo kilaza, udhibitisho kuwa hizo rotation alikua hafanyi yeye upo wapi?, rotation kwnye timu ni muhimu ila alivyokua kilaza anarotate timu nzima.Enzo Maresca hakuondolewa kwa sababu ya poor performance. Kwa kiwango cha makocha waliopita chini ya Wamarekani, bado Maresca atabaki kuwa mmoja wa makocha bora zaidi katika muhula huu.
Tatizo lilikuwa kwenye mgongano wa mamlaka. Maresca alitaka kuwa na uwezo mkubwa wa kubadili maamuzi ya medical team, hasa kuhusu load management. Alitaka pia sauti kwenye player rotation. Lakini wamiliki wa Chelsea wanataka kocha anayefuata sera za mradi wao—kufanya kazi kama timu, kuheshimu mipaka ya kila idara, na kukubali mfumo wa rotation unaolenga kuwaimarisha wachezaji na kuongeza thamani yao sokoni. Rotation nyingi tulizokuwa tunamlaumu Maresca, mara nyingi zilikuwa si maamuzi yake binafsi bali matakwa ya mfumo, ila sisi mashabiki tukawa tunamtupia lawama.
Kulikuwa pia na tofauti kubwa kwenye young player development. Baada ya Levi Colwill kuumia, uongozi ulimtaka Maresca awape nafasi Josh Acheampong na Aaron Anselmino, lakini hakukubaliana nao. Hata kwenye vyombo vya habari alisisitiza kwamba Chelsea inahitaji beki mpya badala ya kutumia vijana hao.
Zaidi ya hapo, Maresca alifanya heavy rotation na load management kwenye mechi dhidi ya Leeds United (tukapoteza), Bournemouth (tukasare), na kipigo cha Atalanta—ikiwa ni njia ya kuwaonyesha wamiliki na sporting directors kwamba Chelsea inahitaji usajili wa Januari. Baadaye akatoa kauli za kejeli kwenye vyombo vya habari akisema hakusaidiwa baada ya kipigo, na kwamba masaa 48 yaliyopita yalikuwa mabaya sana katika taaluma yake ya ukocha na Chelsea.
Kwa kifupi, mgongano haukuwa kuhusu uwezo wake, bali falsafa na mfumo wa uongozi.
Ngoja aende Manchester City akapate mazingira yanayomfaa. Hapo ndipo wengi wataelewa kwamba Maresca ni kocha mzuri—tatizo halikuwa uwezo wake, bali kutokulingana na mfumo wa Chelsea.
View attachment 3523976
Hizo rotation Enzo Maresca alikuwa akilazimishwa kufanya kwa ajili ya load management. Tuone kocha atakayekuja atakwepaje hilo. Sera ni zile zile na wamiliki ni wale waleNyie mnamtetea huyo kilaza, udhibitisho kuwa hizo rotation alikua hafanyi yeye upo wapi?, rotation kwnye timu ni muhimu ila alivyokua kilaza anarotate timu nzima.
Halafu alikua mbioni kufukuzwa kwa kulinda heshima ikabidi ajitoe.
View attachment 3524041
Usisahau kuwa Chelsea tuna vikombe viwili ambazo Arsenal na Man United wanavimezea mate kweli kweli na wivu juuIla wazee the blues siku hizi imekuwa timu ya kawaida sana kwenye selection ya makocha. Tumekuwa middle table team
Sidhani kama board ndio ilikua inamuamuru achezeshe mabeki sita kwa pamoja huku tupo nyuma tunahitaji ushindi?!! au Kuchezesha wachezaji out of possition au kupanga akina Tosin wakat ana beki wakueleweka kuliko hizo mbanga. Yaan tena Board ni wastaarabu, ingekua ni mm ningeshamla kichwa siku nyingi.Hizo rotation Enzo Maresca alikuwa akilazimishwa kufanya kwa ajili ya load management. Tuone kocha atakayekuja atakwepaje hilo. Sera ni zile zile na wamiliki ni wale wale
How about Kiungo Caicedo alienunuliwa kwa mabilioni ya pesa??Maresca hakuwahi kutaka “superstar” mmoja wa kutegemewa; falsafa yake ilikuwa kujenga timu yenye wachezaji bora wengi, ili mfumo wake usiegemee mtu mmoja. Alitaka mfumo ambao hata mchezaji mmoja akipata jeraha, akifungiwa au akiwa kwenye kiwango kibaya, timu bado inaendelea kufanya kazi bila kuyumba. Kwa nadharia, hili ni jambo zuri sana—lakini katika uhalisia wa EPL na presha ya klabu kama Chelsea, kutengeneza timu isiyomtegemea mchezaji yeyote ni karibu haiwezekani. Kila timu kubwa duniani huwa na mhimili wake, wachezaji wachache wanaobeba ubora wa kikosi na kufanya mfumo ufanye kazi.
Ndiyo maana kocha ajaye hawezi kuendeleza falsafa ya “hakuna nyota,” bali anatakiwa kutambua wachezaji muhimu wa kujengea mfumo. Kwa bahati nzuri, Chelsea tayari ina msingi mzuri sana wa kujengea timu imara na yenye ushindani.
Kwanza kabisa, Cole Palmer ndiye anayepaswa kuwa kitovu cha mfumo. Ubunifu wake, utulivu wake na uwezo wa kubadili mchezo unamfanya kuwa mchezaji wa aina adimu. Yeye ndiye injini ya ubunifu ambayo timu inaweza kujengwa juu yake.
Kisha unafuata Estevão Willian, kipaji cha hali ya juu chenye uwezo wa kuwa mmoja wa wachezaji bora duniani katika miaka michache ijayo. Kasi yake, ujasiri wake na uwezo wa kutengeneza hatari pembeni vinampa nafasi ya kuwa sehemu muhimu ya mfumo mpya.
Enzo Fernández naye ni mhimili wa kiungo—mchezaji mwenye akili ya mchezo, pasi za kuvunja mistari na uwezo wa kudhibiti kasi ya mchezo. Kocha ajaye lazima aendelee pale Maresca alipoishia katika kumjenga Enzo kuwa kiongozi wa kiungo.
Reece James, akiwa fiti, ni mmoja wa mabeki wa kulia bora zaidi duniani. Uwezo wake wa kushambulia na kutetea unampa timu sura tofauti kabisa. Ni mchezaji ambaye mfumo wowote wa ushindani unapaswa kumtumia ipasavyo.
Levi Colwill ni beki wa kisasa—mtulivu, mwenye uwezo wa kujenga mashambulizi kutoka nyuma na mwenye kasi ya kukabiliana na washambuliaji wa EPL. Ni sehemu muhimu ya msingi wa muda mrefu wa Chelsea.
Kwa kifupi, kocha ajaye akiamua kujenga timu inayozunguka hawa wachezaji watano—Palmer, Estevão, Enzo, Reece James na Colwill—Chelsea inaweza kuwa timu yenye ushindani mkubwa ndani ya muda mfupi. Hawa ndiyo wachezaji wanaoweza kuwa mhimili wa mfumo mpya, tofauti na falsafa ya kutotegemea mtu yeyote ambayo, kwa mazingira ya EPL, haiwezi kufanya kazi kikamilifu.
View attachment 3523867
Profesa? Manchester Utd washawahi leta kocha,professor Mpira Rafa Ragnick(Wanadai alikuwa Mwl jurgen klopp) lakini wapi
Kweli kabisa, sometym anajikuta yeye ni Pep matokeo yake anaharibu. Ila hii ya betri na gunzi huwa inanicheleshaga sana🤣🤣🤣Kabisa yaani wamiliki wana biashara kibao za matrilioni na trilioni za kufuatilia, wapoteze muda kupanga wachezaji wa kucheza kwenye mechi. Maresca muda mwingine alikuwa anajichanganya mwenyewe kuover think anajikuta amechanganya betri na gunzi.
Pep mshenzi alishajihakikishia point zake sita dhidi y Maresca kila msimu, roho inamuuma. Mbona hakusema hivyo kwa kiboko yake Klopp zaid y kwenda kuchekea chooni.PEP Guardiola apigiga vijembe bodi ya Chelsea na Wamailiki wake kwa kumfukuza Maresca
"Naweza kusema tu kwamba Chelsea wamepoteza meneja mzuri mzuri sana, mtu mzuri. Lakini hiyo ni uamuzi wa viongozi wa Chelsea, sina la kusema."
"Hii inathibitisha tu jinsi nilivyokuwa na bahati – na bado nina bahati – kuwa katika klabu ninayofundisha. Klabu yangu ni ya kipekee."
View attachment 3524119
Nyie mnamtetea huyo kilaza, udhibitisho kuwa hizo rotation alikua hafanyi yeye upo wapi?, rotation kwnye timu ni muhimu ila alivyokua kilaza anarotate timu nzima.
Halafu alikua mbioni kufukuzwa kwa kulinda heshima ikabidi ajitoe.
View attachment 3524041
Mashabiki wamepanga maandm,ano kumpinga Behdad Eghbali na SDsMtakuja kumwelewa Maresca baadaye.
Tatizo halikuwa Maresca kama mnafuatilia habari kwa makini. Tatizo ni hawa wamiliki wa klabu. Lengo lao kuu ni faida ya kifedha tu. Wanataka kocha ambaye atakuza wachezaji kama mifugo ili baadaye wauzwe kwa bei ya juu sokoni.
Behdad Eghbali hasa, hana nia ya kuona timu ikishinda makombe. Kwake, kushinda hakulipi — maana kunahitaji gharama kubwa. Badala yake, anaona faida kununua mchezaji kwa milioni 5 na kumuuza kwa milioni 80.
Kila mechi, Wakurugenzi wa Michezo (SDs) pamoja na wamiliki walikuwa wakiingia dressing room, wakimnyima Maresca uhuru wa kuchagua kikosi chake na kupanga mbinu za ushindi.
Mkielezwa kinachoendelea nyuma ya pazia, mtabadilisha mtazamo wenu kuhusu Maresca. Chuki mliyonayo kwake si ya haki — ni matokeo ya mfumo wa uendeshaji wa klabu unaotanguliza biashara kuliko ushindani wa kweli.
Behdad Eghbali na SDs wao hawafurahishwi na Marecsa kuiwezesha Chelsea kushinda Conference league na FIFA CWC bali wao wanahusunishwa na Maresca kutowapa nafasiMashabiki wamepanga maandm,ano kumpinga Behdad Eghbali na SDs
🚨 HABARI ZA HIVI PUNDE:
Inaeleweka kuwa maandamano rasmi yamepangwa… 👇🏻
🚨 Maandamano ya Mashabiki wa Chelsea dhidi ya Behdad Eghbali na Idara ya Usimamizi wa Michezo (Sporting Directorship).
⚽️ Chelsea vs Brentford, 17 Januari
🏟️ Britannia Gate, Stamford Bridge
⏰ Maandamano yanaanza saa 7 mchana
“Wafuasi wa Chelsea wanahimizwa kuungana kwa pamoja katika maandamano ya amani kupinga mfumo na mkakati wa uongozi, hususan Behdad Eghbali na Wakurugenzi wa Michezo wa #CFC.”
⚠️ UKWELI HALISI ⚠️
View attachment 3524414
- Matumizi ya Rekodi – Mkakati wa kusajili vijana pekee umeshindwa kuinua viwango.
- Kutokuwa na Utulivu wa Kikosi – Kikosi kisicho na mizani, kisicho na uzoefu, kinachobadilika kila mara huku makocha wakibebeshwa lawama.
- Mkakati Ulioshindikana – Wingi kupewa kipaumbele kuliko ubora ili kuongeza thamani ya kuuza baadaye kwa faida. Chelsea si Brighton tajiri wala Red Bull.
- Machafuko ya Kiufundi – Uteuzi wa makocha wasiovutia ili wafanane na “mfumo wa ndani na mradi” — mfumo huohuo uliowashindwa Graham Potter, Mauricio Pochettino na Enzo Maresca.