arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,362
- 4,420
Ww kikundi chako Chao singeli Kiko wapi sasahivi kwny msimamo wa ligiš¤£š¤£....chondechonde j2 tunataka draw tu kwa City....acheni ufala wa kugawa utamu hovyohovyoYaani hao ndio wachezaji unategemea wakupe ubingwa?!! Madueke Efusii
Huwa mnabishaga hivyo hivyo, ila mkiwanunua kutoka chelsea wanawaeka hao mnaowasifia benchi. Arse88 mna ushabiki kuliko uhalisia.