Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Safari hii clean sheets hazitatajwa kwanza na hakuna mchezaji atafananishwa na wa timu ya Arsenal
 
Kupaki basi dhidi ya Arsenal kunachosha wachezaji wengine hata mechi ya jana walishindwa kuingia
 
Mmelambwa ....... majinga kabisa ! Mmemkazia Arsenal alafu mnakuja kuiacha wazi Leeds anaichapa awezavyo.... maresca ni kichwa boga
 
20251204_115204.jpg
 
Sijui kwa nini huyu kipara recently huwa yuko seriously na mechi kubwa. Alafu mechi za kuchukua point 3 anajifanya Einstein
Tosin,Chalobah, Badiashile unawaweka pamoja kwenye mechi ya EPL seriously? Wakati huo muhimili wa kucover mabeki ana kadi nyekundu

Gusto na James unawapumzisha Wakati wanashare number lakini unamuanzisha Cucurella (ambaye ni kama hana wa kumpumzisha)then unamuanzisha Chalobah kama beki wa kulia hapa akili ya kocha unaona kabisa ni full pilot experiment

Nafasi anazopewa Tosin na haimprove kwa umri wake ni better akapatiwa Achempong

Hatuwezi shinda kila mechi lakini kuna mechi tunapoteza kwa makosa ya kitoto ya kocha na hata sio kuzidiwa mbinu na mpinzani Mfano ni leo na sub ya Tosin game ya Sunderland
Mimi amenikera sana kwa kweli kwa style hii ligi hatuwezi kuchukua
 
Mimi kila uchwao huwa nawambia hapa Enzo Maresca ni bonge la takataka.
Wewe shida yako amefanya vizuri mechi 8 uko kimya, hii moja tu umejitokeza na utakataka. Kwa nini hujitokezi wakati timu imefanya vizuri. Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe. Kosa moja katika mechi kibao hukumu tayari
 
Bournemouth vs Chelsea
4-2-3-1
--------------Delap-------------

Garnacho ------ Palmer ----- Neto

----Enzo ------------James (C)----

Cucurella--Chalobah--Fofana--Gusto

-------------Sanchez-------------
Subs
Jorgensen
Acheampong
Badiashile
Hato
Andrey Santos
Estevao
Gittens
Joao Pedro
Guiu

TOSIN OUT
inaonekana kama mwisho umefika na hatima yake kama ya Sterling na Disasi ndio hiyo
January tunahitaji chenji hata kidogo. Hata mil 2 tu itatosha
 
Leo Arsenal kafungwa na Aston Villa, ingekuwa Papaa Gx ni Arsenal atajitokeza na kusema niliwaambia mara nyingi Arteta ni takataka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom