Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mentality ya wachezaji hawajitumi, hawapress, hawaoni wenzao wamedhamiria kutumia makosa ya baadhi ya wachezaji na uzembe mwingi kushinda.
 
James, Gusto, Neto, Cole Palmer na Garnacho waingie tu kuokoa jahazi
 
Jibu n simple Sana kuliko hii ngonjera yako, daima arsenal haiwezi kushindana na Chelsea kwenye makombe
ROho inakuuma unaamini ilitakiwa muwafunge Leeds halafu haijawa hivyo so unakua unatapatapa kujaribu kujifariji.
 
Sijui kwa nini huyu kipara recently huwa yuko seriously na mechi kubwa. Alafu mechi za kuchukua point 3 anajifanya Einstein
Tosin,Chalobah, Badiashile unawaweka pamoja kwenye mechi ya EPL seriously? Wakati huo muhimili wa kucover mabeki ana kadi nyekundu

Gusto na James unawapumzisha Wakati wanashare number lakini unamuanzisha Cucurella (ambaye ni kama hana wa kumpumzisha)then unamuanzisha Chalobah kama beki wa kulia hapa akili ya kocha unaona kabisa ni full pilot experiment

Nafasi anazopewa Tosin na haimprove kwa umri wake ni better akapatiwa Achempong

Hatuwezi shinda kila mechi lakini kuna mechi tunapoteza kwa makosa ya kitoto ya kocha na hata sio kuzidiwa mbinu na mpinzani Mfano ni leo na sub ya Tosin game ya Sunderland
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom