Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kocha aina ya mpira wake ni ngumu kufunga aina ya team zinazodefend team ipo very slow kwenye build mashambulizi tunawezaje kufunga aina ya hizi na pia wachezaji wanajisahau as if wapo Newcastle au Burnley this is Chelsea yaani mmepumzishwa kwenye game ya Ajax alafu bado mnaleta utumbo
 
Tatizo la makocha wenye Identity ya kucheza kama Maresca, PEP ni ngumu kuwafunga timu kama Sunderland kwa sababu wakati wanatakiwa wafanye long throw, wao hawafanyi, wakati wanatakiwa kucheza long balls, wao hawataki. Saa nyingine wachezaji wanajichukulia sheria mkononi kwa kwenda kinyume na maelekezo ya kocha ndipo washinde mechi kama hizi. Unakumbuka msimu uliopita kuanzia March. Kipa Sanchez, Palmer na wachezaji wengine waliamua kucheza tofauti na maelekezo ya kocha. Kocha alisisitiza back passes na kucheza kuanzia nyuma lakini wao wakakaidi na ndipo tuliposhinda mechi nyingi zilziotufanya kuingia top 4
Ufahidhina kama huu ndio unanifanya saa nyingine nichukie hisi identity football play
 
Wale wajuaji siwaoni
Wajuaji ni ninyi mnaopotea timu ikifanya vizuri, tukiteleza kidogo mmejaa humu kama inzi au tai kwenye mzoga. Tulishind amechi 22 mfululizo mwishoni mwa msimu uliopita kati ya mechi 26 hadi tukabeba makombe mawili ya haraka haraka mkapotea kama kunguni sasa mmeibuka tena kuanz akusumbua
 
View attachment 3493640

Kwa anaejua hawa viazi wawili walikua wanafanya nini hapo, anijulishe.

Na kocha alivyo pumbavu jinga kabisa, akamtoa yule Acheampong mwenye akili akaicha hiyo mbuzi chalobar.
Nimecheki jana mechi ya Strasbourg thidi ya Lyon, Mamadou Sarr anamganda mchezaji na kumpokonya mpira kirahisi na ni mdogo tu. Hawa wazoefu walishindwa kumuweka katikati na kumpokonya huo mp[ira, wamempa ulinzi hadi mwqenzao kaja akapasi bila hata kubughudhiwa. Ndio maana uongozi ulikuwa unakazana kumuuza Chalobah, hatumii akili na uzoefu. Natumaini kocha ameliona hilo na watapewa ban kama aliyopewa Chilwell, Disasi na Sterling. Wanastahili kabisa
 
Yani Chelsea mmefikia stage ya kukategemea katoto kanakoitwa Achempong!?

Nyie hamfai kabisa kuonekana kwenye mikeka yangu 😁
Uongozi ulkifanya makosa makubwa kuwatoa Aaron Anselmino na Mamadou Sarr
Hata Jarel Hato angecheza vizuri kuliko Ucle Tosin
 
Nakukumbusha tu jirani....jitahidi tukikutana Cole Palmer awepo pasiwepo visingizio....mna kikundi Cha watu machachari sana nilishawahi kusema....hakuna timu ya mpira hapa.....
Arsenal was set pieces. Hakuna timu hapo. Ni suala la muda tu hizo set pieces zikidhibitiwa hamtapata points. Chelsea nio rahisi kufunga timu zinazocheza open play kuliko hizi za kupaki mabasi. Hata hivyo Arsenal siku hizi nayo imekuwa timu ya kupaki mabasi huku wakisubiri wapate kona, free kick, penalti au mipira ya kurusha warusha long balls hadi golini just like those small teams.
1761542464302.png
 
Tatizo la makocha wenye Identity ya kucheza kama Maresca, PEP ni ngumu kuwafunga timu kama Sunderland kwa sababu wakati wanatakiwa wafanye long throw, wao hawafanyi, wakati wanatakiwa kucheza long balls, waoi hawataki. Saa nyingine wachezaji wanajichukulia sheria mkononi kwa kwenda kinyume na maelekezo ya kocha ndipo washionde mechi kama hizi. Unakumbuka msimu uliopita kuanzia March. Kipa Sanchez, Palmer na wac hezaji wengine waliamua kucheza tofauti na maelekezo ya kocha. Koacha alisisitiza back passes na kucheza kuanzia golini lakini wao wakakaidi na ndipo tuliposhinda mechi nyingi zilziotufanya kuingiua top 4
Ufahidhina kama huu ndio unanifanya saa nyingine nichukie hisi identity footabll play
Kile kipindi mpaka tukawa nafasi ya 2 kabla hatukupata injury mbona huyu huyu Maresca alikuwa anacheza mpira wa counter attack tulikuwa Bora sana tulipiga magoal mengi Nini ambacho kimebadilika kwake?
 
Arsenal was set pieces. Hakuna timu hapo. Ni suala la muda tu hizo set pieces zikidhibitiwa hamtapata points. Chelsea nio rahisi kufunga timu zinazocheza open play kuliko hizi za kupaki mabasi. Hata hivyo Arsenal siku hizi nayo imekuwa timu ya kupaki mabasi huku wakisubiri wapate kona, free kick, penalti au mipira ya kurusha warusha long balls hadi golini just like those small teams.
View attachment 3494369
Leta takwimu zte mkuu....ila jiandaeni tukikutana....Kila timu tunayokutana nayo sasahivi inapiga low block unataka tufanyaje mkuu....ni kuwadunda kwa set pieces....Man City kwa mara ya kwanza kipindi Cha pili walivyokutana na sisi walipiga low block...Fulham.... Newcastle...jana Crystal palace...atletico Madrid alipiga low block 1st half ila kipindi Cha pili akataka kupishana kikamkuta Cha kumkuta....natamani tukikutana mcheze kama mlivyocheza na Livakuku ndo mtajua kama tunashinda kwa set pieces...au tunakupokea kama unavyokuja🤠🤠🤠
 
Mnaweza kutufunga kwa sabbau ya ulinizi wetu mbovu ila open play ninyi hamuwezi na mkijifanya kufunguka mtamiminiwa mvua ya magoli. Nimekuwekea data unataka nini zaidi
 
Wajuaji ni ninyi mnaopotea timu ikifanya vizuri, tukiteleza kidogo mmejaa humu kama inzi au tai kwenye mzoga. Tulishind amechi 22 mfululizo mwishoni mwa msimu uliopita kati ya mechi 26 hadi tukabeba makombe mawili ya haraka haraka mkapotea kama kunguni sasa mmeibuka tena kuanz akusumbua
Hakuna aliyepotea ni ngumu kuchangia mbele ya wajuaji
 
Mnaweza kutufunga kwa sabbau ya ulinizi wetu mbovu ila open play ninyi hamuwezi na mkijifanya kufunguka mtamiminiwa mvua ya magoli. Nimekuwekea data unataka nini zaidi
Hamna timu ya kumimina mvua ya magoli kwa Arsenal. Kama mnafungwa na mid table teams tena nyumbani basi anaweza kubeba pointi zote sita msimu huu.
 
Leta takwimu zte mkuu....ila jiandaeni tukikutana....Kila timu tunayokutana nayo sasahivi inapiga low block unataka tufanyaje mkuu....ni kuwadunda kwa set pieces....Man City kwa mara ya kwanza kipindi Cha pili walivyokutana na sisi walipiga low block...Fulham.... Newcastle...jana Crystal palace...atletico Madrid alipiga low block 1st half ila kipindi Cha pili akataka kupishana kikamkuta Cha kumkuta....natamani tukikutana mcheze kama mlivyocheza na Livakuku ndo mtajua kama tunashinda kwa set pieces...au tunakupokea kama unavyokuja🤠🤠🤠
Hawa walijipatia ujiko kwa Liverpool iliyojichokea ila wanafuliwa vzr tu na timu kama Palace na Bournemouth
 
Huwa team zinazocheza open play hazitusumbui ndio maana Liverpool alipigwa comfortably sisi tunasumbuka na team aina ya uchezaji Kama Crystal palace na sio tu msimu huu hata msimu uliopita
 
Acheni excuses nyie kwani mpizani unampangia acheze vipi.
Ukifungwa tulia, ukishinda sumbua.
 
A
Mnaweza kutufunga kwa sabbau ya ulinizi wetu mbovu ila open play ninyi hamuwezi na mkijifanya kufunguka mtamiminiwa mvua ya magoli. Nimekuwekea data unataka nini zaidi
Arsenal ya sasa kuipiga mvua ya magoli ni ngumu. Ukipata goli 1 shikilia bomba kama Liverpool alivyofanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom