Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie kweli hamko serious na hela zetu
Kocha wetu tumeshamzoea huwa ana ujuaji mwingi Kuna kipindi alimpanga Fofana beki wa kulia James na Gusto wakapigwa benchi yani anatabia ya kudharau game imagine UEFA inatumika sehemu ya kuwapa wachezaji ambao hawana nafasi Kwenye ligi
 
Marc Guiu (miaka 19 na siku 291) amekuwa mchezaji mchanga kufunga goli UEFA katika historia ya Chelsea lakini dk 14 baadaye Estevao Wilian (miaka 18 na siku 181) anavunja hiyo rekodi
1761164050208.png
 
Gittens Leo kaubonda vibaya ni vile alikuwa anakosa confidence Leo katengeneza nafasi 5 za wazi na kawin man of the match
Pace yake ni kubwa mno, atakuja kuwanyanyasa sana oponents. Confident ikikaa mahali pake. Hatua yake moja kawatoka mabeki wawili
 
Nimeona kocha kajifunza Jambo hasa kwenye mechi ile ya Nottingham forest Joao Pedro hasikuwa Palmer namba 9 haimfahi zaidi atakuwa 10 alivyoingia Guiu ile kashikashi aliyoileta ndio namba Tisa halisi kwamaana hiyo kuanzia Sasa Guiu atakuwa anaanza. Ila nikuambie Hata akirudi Delap atakuwa ana kibarua kigumu kwa huyu dogo
 
Kikosi cha Leo kiwe hivi
1.Sanchez
2.James
3.Cucurella
4.Josh
5.chalobah
6.Caicedo
7.Neto
8.Enzo
9.Guiu
10.Joao Pedro
11.Garnacho
 
Chelsea vs Sunderland
4-2-3-1

Giu back to Back start
Garnacho start
Estevao Willian on the becnh

Twende The Blues

-------Guiu-------

Garnacho---Joao Pedro---Neto

--Fernandez--------Caicedo

Cucurella--Chalobah--Acheampong --James (c)

-------Sanchez------

Bench:
  1. Filip Jørgensen
  2. Tosin Adarabioyo
  3. Wesley Fofana
  4. Jorrel Hato
  5. Roméo Lavia
  6. Andrey Nascimento dos Santos
  7. Estevão Willian
  8. Jamie Bynoe-Gittens
  9. Tryque George
1761397463159.png
 
Chelsea vs Sunderland
4-2-3-1

Giu back to Back start
Garnacho start
Estevao Willian on the becnh

Twende The Blues

-------Guiu-------

Garnacho---Joao Pedro---Neto

--Fernandez--------Caicedo

Cucurella--Chalobah--Acheampong --James (c)

-------Sanchez------

Bench:
  1. Filip Jørgensen
  2. Tosin Adarabioyo
  3. Wesley Fofana
  4. Jorrel Hato
  5. Roméo Lavia
  6. Andrey Nascimento dos Santos
  7. Estevão Willian
  8. Jamie Bynoe-Gittens
  9. Tryque George
View attachment 3493416
Chelsea wazee wa showshow🤣🤣🤠🤠.....na Livakuku mnakaza viuno ila na watotowatoto kama hawa mnagawa tu....na bdo....yaendelee kuwakuta mabaya zaidi....kuku nyny
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom