Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,351
- 2,786
Leteni konte...maresca anawacheleweshaKwanza team yako ni ipi sio unakuja tu kupiga kelele
Leteni konte...maresca anawacheleweshaKwanza team yako ni ipi sio unakuja tu kupiga kelele
Konte huyu ambae anafundishwa mpira na Farbrigus huko Italy, au konte yupi?Leteni konte...maresca anawachelewesha
Bingwa huyo msimu uliopita.Konte huyu ambae anafundishwa mpira na Farbrigus huko Italy, au konte yupi?
Kocha hamna mtu pale aisee, kuna vitimu huko mchangani vinapga mpira acha kbs. chelsea mpira wao kama wazee, nafas ya kupiga pasi ipo! mpira unarudishwa nyuma kha!.maresca ni kocha mzuri kimbinu ni vile kukosa kwake uzoefu wa kufundisha team mkubwa ndio sometimes unamcost ndio maana unakuta anafanya mistake ila haindoni yeye kuwa kocha mzuri
Sasa madueke kaifanyia Nini ChelseaKocha hamna mtu pale aisee, kuna vitimu huko mchangani vinapga mpira acha kbs. chelsea mpira wao kama wazee, nafas ya kupiga pasi ipo! mpira unarudishwa nyuma kha!.
Halafu kweli kw akili timamu tumeuza Madueke tukanunua Gittens?!!
Wewe ndio hufai kabisa kunishauri nyie msimu huu target yenu msishuke daraja baada ya msimu uliopita kuponea chupuchupuLeteni konte...maresca anawachelewesha
Gittens kaifanyia nini Dortimund? Chakusikitisha tumeuza bajaji tumenunua baiskeli.Sasa madueke kaifanyia Nini Chelsea
Madueke anacheza upande wa winga wa kulia anapocheza Estevao na Pedro Neto fikiria kwa hiyo miamba miwili Madueke anachukua namba kwa nani? Ndio maana akaona Bora asepeGittens kaifanyia nini Dortimund? Chakusikitisha tumeuza bajaji tumenunua baiskeli.
Alisema mwanzoni mabeki wanatakiwa Sporting Director wakampuuza. Unataka afanye vizuri na akina Tosin, Chalobah na academy Acheampong? Fans saa nyingine hawako fairmaresca ni kocha mzuri kimbinu ni vile kukosa kwake uzoefu wa kufundisha team mkubwa ndio sometimes unamcost ndio maana unakuta anafanya mistake ila haindoni yeye kuwa kocha mzuri
Amesepa sawa na hakuwa mchezaji mzuri pia, ilitakiwa sasa tuupgrade sio tudowngrade. Sijui chelsea huwa wanaangalia nini kw mchezaji kabla ya kumnunua?! Au kuna upigaji.Madueke anacheza upande wa winga wa kulia anapocheza Estevao na Pedro Neto fikiria kwa hiyo miamba miwili Madueke anachukua namba kwa nani? Ndio maana akaona Bora asepe
Alisema mwanzoni mabeki wanatakiwa Sporting Director wakampuuza. Unataka afanye vizuri na akina Tosin, Chalobah na academy Acheampong? Fans saa nyingine hawako fair
Watu wanamlaumu kwenye kubadilisha kwake mabeki ila tuwe wa kweli beki yupi ukimtoa chalobah hajagusa kitanda cha wagonjwa?Alisema mwanzoni mabeki wanatakiwa Sporting Director wakampuuza. Unataka afanye vizuri na akina Tosin, Chalobah na academy Acheampong? Fans saa nyingine hawako fair
Kwenye nafasi ya Madueke tumemsajili Estevao je ni upgrade au downgrade ya Madueke?Amesepa sawa na hakuwa mchezaji mzuri pia, ilitakiwa sasa tuupgrade sio tudowngrade. Sijui chelsea huwa wanaangalia nini kw mchezaji kabla ya kumnunua?! Au kuna upigaji.
Hao wote takataka, ilipotokea majeruhi ya Levi Colwill, beki aliyeibeba beki yote pale nyuma Marseca aliomba asajiliwe beki wa kuja kuziba hiyo nafasi, SD wakakataa, wakapuuza. Swala la Chalobah au Tosin kuingia majeruhi haina impack kama majeruhi ya Colwill. Mada ndio ipo hapoWatu wanamlaumu kwenye kubadilisha kwake mabeki ila tuwe wa kweli beki yupi ukimtoa chalobah hajagusa kitanda cha wagonjwa?
Kule kwa wale matakataka, aah ngoja nitakujaa kukujibu..Njoo ujibu swali langu kwenye group la Liverpool