OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Mbona kimyaaaaa
Pass alitoa Xavi haukuwa mbaya Sena mpokeaji wa pass hakuwa sharp kupokea mpira, Xavi ni mchezaji nzuri huwezi kumfananisha ubora wake na mtu kama focundoPasi mbovu kutoka kwa mchezaji ambaye tulitaka kumsajili Xavi, Kazi nzuri sana ya Caisedo.
View attachment 3497444
Njoo ujibu swali langu kwenye group la LiverpoolAu maandamanooo
maresca ni kocha mzuri kimbinu ni vile kukosa kwake uzoefu wa kufundisha team mkubwa ndio sometimes unamcost ndio maana unakuta anafanya mistake ila haindoni yeye kuwa kocha mzuriKocha hapa hatuna.
Kenge kabisamaresca ni kocha mzuri kimbinu ni vile kukosa kwake uzoefu wa kufundisha team mkubwa ndio sometimes unamcost ndio maana unakuta anafanya mistake ila haindoni yeye kuwa kocha mzuri
Kwanza team yako ni ipi sio unakuja tu kupiga keleleKenge kabisa