Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna mhenga mmoja kasema Chelsea ingefungwa ungesikia
Huyu kocha takata sana
Kwa nini alimpanga Guisto midfield
Kwa nini hakumuanzisha Estevao Willian
Angekosolewa zaidi na zaidi ila sasa Chelsea imeshinda kuna mashabiki hata wamempa YES ya kudumu Maresca kuwa ni kocha wa viwango. Ngoja gemu inayofuata apoteze
Mashabiki bana, wee waache tu!
Maresca ni kocha mzuri sema anashida moja ya ego hata Leo reason ya kuperform vizuri imechangiwa na pressure ya mashabiki na Kama Leo angefanya utumbo wake watu wasingemuelewa na yeye alijua Hilo na nimeliona hili tupo serious ni pale kupitia maandalizi ya mechi, kwa mara ya Kwanza Chelsea imefanya mazoezi kwenye uwanja wetu wa mechi badala cobham kwenye uwanja wetu wa mazoezi.Mashabiki wanasehemu yao sio wakuwabeza ninaamini mechi ya Jana tungepoteza mashabiki wasingemlaumu kocha maana alifanya kila kitu sahihi kuanzia kwenye kupanga kikosi mpaka sub alizofanya Tena kwa wakati sahihi na hata mpira tumepiga mkubwa. Watu wanachomlaumu sana Maresca sometime sio matokeo ni upangaji wake, uchezaji wa konokono na sub za kijinga anazofanyaga na consistency yake huwa ana tabia sometimes ya kudharau game huwa hatumii nguvu kwenye hizi team zingine ndogo wakati ndio zipo nyingi zaidi. Akirekebisha haya madhaifu niliyotaja Chelsea inauwezo kabisa ya kuwania ubingwa kwasababu resources tunazo
 
Wale wakumponda Romeo Lavia ooh hauzwe injury sana si umeona Jana alichofanya nachompendea jamaa anaweza akakosa mechi nyingi ila akirudi performance yake inabaki kuwa vile vile huwa wachezaji wengine wanahitaji muda mpaka kiwango chake kirudi na ndio maana Chelsea haimuuzi
 
Kuna mhenga mmoja kasema Chelsea ingefungwa ungesikia
Huyu kocha takata sana
Kwa nini alimpanga Guisto midfield
Kwa nini hakumuanzisha Estevao Willian
Angekosolewa zaidi na zaidi ila sasa Chelsea imeshinda kuna mashabiki hata wamempa YES ya kudumu Maresca kuwa ni kocha wa viwango. Ngoja gemu inayofuata apoteze
Mashabiki bana, wee waache tu!
Kuna kitu usichokielewa, huyu kocha somtym ni mwehu kuna games huwa anafanya kusudi afungwe. Game ya jana hata tungefungwa tungekua hatumdai,uliona walivyojituma. Angalia hiyo picha game y brighton hapo gusto alirudisha mpira nyuma inamaana alibeti chelsea itapata goli moja tu.
Screenshot_20251005_120124_Firefox.jpg
 
Marescaball at work
Goli la Estevao Willian ilianzia kwa Sanchez, kupitia pasi 10 kabla ya goli
  1. Sanchez (GK)
  2. Hato
  3. James
  4. Gusto
  5. Caicedo
  6. Lavia
  7. Cucurella
  8. Gittens
  9. Enzo
  10. Cucurella
  11. Estevao
Ni Marc Guiu tu ndie hajaucheza huo mpira, Team work nzuri sana

 
Kushinda gemu moja tu tena ya ligi nyumbani mshatapakaa majukwaa yote kutamba mna timu bora. Mtawasaidia kina Arsenal, City na Liverpool tu kupunguziana magepu ila ukweli ni kuwa top four kwenu bado ni mtihani
 
Kushinda gemu moja tu tena ya ligi nyumbani mshatapakaa majukwaa yote kutamba mna timu bora. Mtawasaidia kina Arsenal, City na Liverpool tu kupunguziana magepu ila ukweli ni kuwa top four kwenu bado ni mtihani
Kwahiyo tukusaidiaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom