kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,191
- 15,917
Mmefirimbwa kitobo.... 😃
Tosin hafai kuwa beki wa Chelsea B au hata CBeki TOSIN huyu mjomba aludishwe kwao Nigeria akechezee rivers united
Chelsea wanapaswa kumuuza Tosin mwezi Januari. Ni chungu sana kutazama makosa yale yale ya ulinzi, mabao matatu yaliyofungwa kwa njia ile ile, na bado hajajifunza. Hali hii haiwezi kuendelea. Alifanya makosa dhidi ya Fulham, dhidi ya Brentford na leo dhidi ya Sunderland. #TosinOutTosin hafai kuwa beki wa Chelsea B au hata C
Chalobah naye hafai, yuko too much inconsistent
Bora angebaki Josh
Yani Chelsea mmefikia stage ya kukategemea katoto kanakoitwa Achempong!?View attachment 3493640
Kwa anaejua hawa viazi wawili walikua wanafanya nini hapo, anijulishe.
Na kocha alivyo pumbavu jinga kabisa, akamtoa yule Acheampong mwenye akili akaicha hiyo mbuzi chalobar.
Nakukumbusha tu jirani....jitahidi tukikutana Cole Palmer awepo pasiwepo visingizio....mna kikundi Cha watu machachari sana nilishawahi kusema....hakuna timu ya mpira hapa.....View attachment 3493640
Kwa anaejua hawa viazi wawili walikua wanafanya nini hapo, anijulishe.
Na kocha alivyo pumbavu jinga kabisa, akamtoa yule Acheampong mwenye akili akaicha hiyo mbuzi chalobar.