Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuna wachezaji wasio kua na uzoefu wa mpira kwenye timu zenye kiwango cha Chelsea, level ya concentration yao iko chini sana, magoli yote tunao fungwa hutokana na error au makosa ya mchezeji moja moja sio magori ya ajabu sana......
Kuna tatizo kwa kocha, baada ya CWC Maresca kaota pembe. Nasikia kuna ugomvi na baadhi bya watu kwenye bodi. Eighbali jana kunaswa na Dezerbi kuna kitu kinaendela huko.
Maresca anaweza asifike December
 
Kuna watu wajuaji humu ukitoa maoni wanajifanya wao wanaishi london shenzi sana chelsea bado sana hata ushindi wake hauna radha ya kibingwa
Huitaji kutumia calories nyingi sana kujustify chuki yako kwa maoni ya wengine. ushabiki kila maoni iko sawa kwa sababu kesho yake Chelsea ikirudi kawaida na haya maoni utayaona kama matapishi muda huo. kuweka akiba ya hiusia ni kitu muhim u sana ndugu
 
Hii mechi ya jana sikucheki ila naona wengi wanawalaumu wamiliki na SDs. Mimi siwapi lawama kubwa wao wala siwalaumu wachezaji. Maresca namuona hata akipewa vitu vilivyokamilika sio wa kumuamini. Maresca anashindwa kutumia rasilimali zake vizuri, kama msimu uliopita. Yeye hujaribu vitu kila wakati, huunda kemia mbaya ya wachezaji, hufanya subs duni, na kila wakati anaonekana kuwa anajaribu kitu.
 
Maresca bichwa kubwa hewa...

Mnataka ubingwa na Gittens? Hato ? Garnacho ? Nyuma pabovu mnakomaa tu kusajili mawinga hewa
 
Hii mechi ya jana sikucheki ila naona wengi wanawalaumu wamiliki na SDs. Mimi siwapi lawama kubwa wao wala siwalaumu wachezaji. Maresca namuona hata akipewa vitu vilivyokamilika sio wa kumuamini. Maresca anashindwa kutumia rasilimali zake vizuri, kama msimu uliopita. Yeye hujaribu vitu kila wakati, huunda kemia mbaya ya wachezaji, hufanya subs duni, na kila wakati anaonekana kuwa anajaribu kitu.
Chalobah sio beki wa hadhi ya Chelsea...Tosin hata Fofana yte ni mizigo....Colwill tu ndo mchezaji kule nyuma....dirisha la usajili mngevunja kibubu kutengeneza kule nyuma mngekuwa wa maana sana....nyny mnakazana kujaza watu mbele tu....ligi kuu huwezi kushinda goli tatu au nne Kila wiki....hyo haipo.....Kuna mechi utatakiwa ushike Bomba kwlikwli na moja bilq au mbili moja....huo uwezo Chelsea hawana kabisa....majirani tukiwasema sio kwmba hatuwapendi ila tunaona kabisa pumzi hamna majirani.....bdo mtadundwa sana safari hii🤠🤠🤠
 
Tutamchukua Saliba
 
Ushauri ungempa Kiwigi angalau apate hat kikombe cha chai, ingependeza zaidi.
 
Yule Mgosi Maresca ni takataka hatotufikisha mahali, na mpira wake wa back pass, mabek watachoma sana, wataacha kuchoma wkt kila saa mpira unarudishwa kwao.
 
Pedro Neto:

"Soka ndivyo hivyo. Siku moja wewe ni bora zaidi ukishinda, ukishindwa wewe ndiye mbaya zaidi.

Wakati meneja alikuwa akishinda, alikuwa bora na sasa anapoteza michezo yeye ndiye mbaya zaidi. Na kwa wachezaji ni hivyo hivyo.

Tuliposhinda Kombe la Dunia la Klabu, tulikuwa timu bora zaidi duniani na sasa tunapoteza sisi ndio timu mbovu zaidi."
 
Yule Mgosi Maresca ni takataka hatotufikisha mahali, na mpira wake wa back pass, mabek watachoma sana, wataacha kuchoma wkt kila saa mpira unarudishwa kwao.
Tayari katufikisha mahali hata kama sio mbali
  1. UEFA Europa Conference League
  2. FIFA Club World C up mdomoni mwa PSG
 
Comference kombe la timu dhaifu, halafu hilo la CWC nimekua na shaka nalo pia, iweje Club ya Dunia isitoe mchezaji bora? au kocho bora? Tuzo ya Club Bora tuzo anapewa wa Club bingwa!! inamaacha kikombe cha WCW ni cha mchongo.

Mgosi ni tapeli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom