Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Akijichanganya kidogo Decemver afiki game zetu 4 zijqzo zitadefine msim wetu huu Lincoln,brighton,Benfica Liverpool,
Chelsea itakamiwa sana na timu nyingi msimu huu kwa sababu ya kombe la dunia. Timu zinazocheza kwa kufunguka hazitatupa shida sana zaidi ya zile za kupaki makonetan
Wasiwasi wangu bado utimamu wa Maresca kwenye kusimamia wachezaji. Msimu uliopita kuanzia december nilimchukia sana na nilimsema kila kwenye jukwaa la mashabiki. Ila ilipofika March alijirekebisha akawa anaongea vizuri na kuwatia hamasa wachezaji wacheze vizuri. Pia upangaji wa timu na sub ukabadilika na tukaenda zaidi ya mechi 26 hivi tukiwa na loss kama 3 tu. Sasa ameanza msimu mpya na bangi mpya. Majeruhi ya Colwill imemchanganya akili. Pale kwa colwill angestick na Ashempong japo mchanga lakini anaofa umahiri kwenye kukaba. Aliweza kumdhibiti Amteta vizuri ningeshauri apewe mechi nyingi. Chalobah anacheza vizuri ila anayo makosa mengi hatartishi. Tosin ni slow na Aaron Anslemino na Mamadou Sarr kocha ameshindwa kuwaamini akawatoa mkopo
 
Arsenal wametuacha point 2 tu, kumbuka hilo
Kuachwa point 2 sio shida Kama huwezi kushinda mechi zako, unakumbuka msimu uliyopita tulishika nafasi Hadi ya pili ulitegemea tutakuja kugombea nafasi ya nne
 
Lembu jaribu kukubali uhalisia

Huwezi kwenda kushindana na timu kama Liverpool wakati huo kuna lundo la matakataka. Hebu angalia matakataka tuliyo nayo.

Kwanza kabisa ni kocha tulie nae huyu ni takataka hamna kocha mule na hana viwango vya kufundisha timu Kama Chelsea, huyo anabidi aende championship huko ndio level zake.

Joao Pedro, Garnacho, Guiu, Liam Delap, Enzo Fernandez, Jamie Gittens, Facundo, Lavia, George, Fofana, Tosin, Hato, Sanchez hawa wote hawana level ya kucheza Chelsea, ni bahati tu wamejikuta wapo Chelsea.
Ni kweli tuna wachezaji baadhi sio level ya Chelsea lakini kwa kiasi kikubwa tuna wachezaji wazuri Reece James, Colwil, Cucurella, Caicedo, Lavia, Santos, Garnacho, Gusto, Joao Pedro, Estevao, Neto, Essugo n.k wanatosha kufanya team iwe nzuri hata Enzo Fernandez tunayemlaumu ni mchezaji mzuri sema ametumika sana na hili tumeliona hata pre-season ni vile tu kocha anakaza fuvu. Kuna Mambo kocha anatuangusha hata hiyo Liverpool ina wachezaji wakawaida baadhi ya sehemu sema inabebwa team spirit walionayo ndio kitu ambacho sisi tumekosa
 
Maresca anasema lengo msimu huu ni kuendelea kuboresha wachezaji na kuendelea kuziba pengo hilo.
Wale mnaoota ndoto ya title pumzikeni kidogo. Wakubwa bado wanajenga timu
 
Kuachwa point 2 sio shida Kama huwezi kushinda mechi zako, unakumbuka msimu uliyopita tulishika nafasi Hadi ya pili ulitegemea tutakuja kugombea nafasi ya nne
Hatutashinda mechi zote kwa sababu sisi sio title contender kama Arsenal na Liverpool. Maresca leo kwenye interview kasema kazi msimu huu ni kuendelea kuwainua viwango wachezaji.

Maoni yangu
Ili msimu ujao wakiimarika kama Noni Madueke anauzwa kwa faida
Wamiliki hawana mpango na makombe, hayo makombe ni gharama labda kama yakijileta yenyewe kama Conference na CWC
 
Ni kweli tuna wachezaji baadhi sio level ya Chelsea lakini kwa kiasi kikubwa tuna wachezaji wazuri Reece James, Colwil, Cucurella, Caicedo, Lavia, Santos, Garnacho, Gusto, Joao Pedro, Estevao, Neto, Essugo n.k wanatosha kufanya team iwe nzuri hata Enzo Fernandez tunayemlaumu ni mchezaji mzuri sema ametumika sana na hili tumeliona hata pre-season ni vile tu kocha anakaza fuvu. Kuna Mambo kocha anatuangusha hata hiyo Liverpool ina wachezaji wakawaida baadhi ya sehemu sema inabebwa team spirit walionayo ndio kitu ambacho sisi tumekosa
Wachezaji wote ni wazuri, kocha saa nyingine anazingua na amri zake 10
 
Kuachwa point 2 sio shida Kama huwezi kushinda mechi zako, unakumbuka msimu uliyopita tulishika nafasi Hadi ya pili ulitegemea tutakuja kugombea nafasi ya nne
Chelsea tumeshinda mechi 2 droo mbili tukafungwa moja tena hii ya Manure ilikuwa ni lazima tu hatuna bahati nao poale Old Trafford tangu 2013
 
Lembu jaribu kukubali uhalisia

Huwezi kwenda kushindana na timu kama Liverpool wakati huo kuna lundo la matakataka. Hebu angalia matakataka tuliyo nayo.

Kwanza kabisa ni kocha tulie nae huyu ni takataka hamna kocha mule na hana viwango vya kufundisha timu Kama Chelsea, huyo anabidi aende championship huko ndio level zake.

Joao Pedro, Garnacho, Guiu, Liam Delap, Enzo Fernandez, Jamie Gittens, Facundo, Lavia, George, Fofana, Tosin, Hato, Sanchez hawa wote hawana level ya kucheza Chelsea, ni bahati tu wamejikuta wapo Chelsea.
Joao Pedro?
 
Kuna michezaji mingine ni mitakataka kbs, ukiambiwa huko nyuma alikua anasubiri nini wakati wenzie hawapo, na minywele yake yenye rangi ya moto.
Screenshot_20250922_213827_Instagram.jpg
 
Hatutashinda mechi zote kwa sababu sisi sio title contender kama Arsenal na Liverpool. Maresca leo kwenye interview kasema kazi msimu huu ni kuendelea kuwainua viwango wachezaji.

Maoni yangu
Ili msimu ujao wakiimarika kama Noni Madueke anauzwa kwa faida
Wamiliki hawana mpango na makombe, hayo makombe ni gharama labda kama yakijileta yenyewe kama Conference na CWC
Tukianza kupoteza ambitious za kuchukua ubingwa tutaanza kupoteza wachezaji wetu Bora na tutashindwa kushawishi big names Kuna club yetu
 
Tukianza kupoteza ambitious za kuchukua ubingwa tutaanza kupoteza wachezaji wetu Bora na tutashindwa kushawishi big names Kuna club yetu
Msimu uliopita tulishinda vikombe vikubwa viwili, imetia motiosha sana, nadhani pia msimu huu tunaweza shinda kikombe mojawapo ila sio ligi. Tuwe wakweli bado hatujafika huko na hasa kwa sababu ya viraka bado ni vingi na Kocha bado anaendeleza ujinga wa msimu uliopita wa kung'ang'ana na wachezaji walioshuka fomu zao na kulazimisha out of position isiyofanya kazi na kuwaweka benchi muda mrefu wachezaji muhimu. Nahisi ndio maan ahata Jackson akakimbia
 
Timu zilizotoa washindi wa Ballon D'Or 2025 katika 10 bora
  1. PSG (5)
  2. Barcelona (2)
  3. Liverpool (1)
  4. Real Madrid (1)
  5. Chelsea (1)
1758595947973.png
 
Kunaanza kuchangamka
 
Attachments

  • Screenshot_20250923_104010_X.jpg
    Screenshot_20250923_104010_X.jpg
    68 KB · Views: 11
Chelsea VS Lincoln City:

--------George--------

Gittens---- Facundo ----Garnacho

-----Enzo (C) --- Andrey Santo---

Hato ----Chalobah --Fofana ---Gusto

-------Jorgensen--------

Bench:
Slonina, Cucurella, James, Caicedo, Harrison, Walsh, Estevao, Neto, Mheuka

1758649569627.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom