lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Mechi kama hizi utategemea kuona mpira mbovu kwa sababu wachezaji wasiokanyaga nyasi huwa wanapewa nafasiChelsea inacheza mpira mbovu sana
Mechi kama hizi utategemea kuona mpira mbovu kwa sababu wachezaji wasiokanyaga nyasi huwa wanapewa nafasiChelsea inacheza mpira mbovu sana
Hata hao first eleven huwa sioni wanachofanya Kama tumeshindwa kuonesha mpira mkubwa kwa team Kama Man u ambao ni wabovu kila eneo unanishawishi vipi niamini tunaweza kufanya vizuri dhidi ya Arsenal, Liverpool au Man cityMechi kama hizi utategemea kuona mpira mbovu kwa sababu wachezaji wasiokanyaga nyasi huwa wanapewa nafasi
Kocha wetu bado ameshindwa kabisa kuzifunga timu kubwa aisee,yani hata aikute mbovu vipi bado hana cha kuifanyaHata hao first eleven huwa sioni wanachofanya Kama tumeshindwa kuonesha mpira mkubwa kwa team Kama Man u ambao ni wabovu kila eneo unanishawishi vipi niamini tunaweza kufanya vizuri dhidi ya Arsenal, Liverpool au Man city
Wewe unajua kwa Man United pale Old Trafford huwa tunavuruga. Mpira saa nyingine sio ufundi wala ujuaji bali kuzidiana ujanja. Man U wakicheza na Chelsea pale Old Trafford hawalegezi mauno. wanakaza kweli kweli. Man U pale Old Trafford sio mfano mzuri wa ubovu wetu.Hata hao first eleven huwa sioni wanachofanya Kama tumeshindwa kuonesha mpira mkubwa kwa team Kama Man u ambao ni wabovu kila eneo unanishawishi vipi niamini tunaweza kufanya vizuri dhidi ya Arsenal, Liverpool au Man city
unaweza kumtetea kwa injury ya Colwil lakini overall kocha anazingua upangaji wake na namna anavyofanya sub. Haiwezekani kila game dhidi ya opponent wetu tunaanza slow na huoni mabadiliko yoyoteWewe unajua kwa Man United pale Old Trafford huwa tunavuruga. Mpira saa nyingine sio ufundi wala ujuaji bali kuzidiana ujanja. Man U wakicheza na Chelsea pale Old Trafford hawalegezi mauno. wanakaza kweli kweli. Man U pale Old Trafford sio mfano mzuri wa ubovu wetu.
Twende mbele tuache ya nyuma. Hizi me chi za Karabao miaka yote lazima kuna mechi tutastrugle na sio sisi tu, Liverpool huwa hawakatizi kabisa au wanapita kwa taabu na timu nyingi za EPL. Technically na tactically inakuwaga hivyo wala mimi sioni jipya.
Kwenye ligi Maresca ametibuliwa na injury ya Colwill, baada ya yeye kukosekana ndio sasa tunaona umuhimu wake sio tu kwenye kudefend, ila hata mashambulizi tunayofanyaga na kushinda ni kwa sababu ya pasi za Colwill zile za kubreka lines. Huu ni ukweli mtupu, kuja kupata replacemnent yake ni ngumu sana.
Pia wachezaji wamechoka sanaunaweza kumtetea kwa injury ya Colwil lakini overall kocha anazingua upangaji wake na namna anavyofanya sub. Haiwezekani kila game dhidi ya opponent wetu tunaanza slow na huoni mabadiliko yoyote
Una Santos ambaye energy yake kiwanjani ni kubwa na ana offer both offensive na defensive bado unamn'gan'gania Enzo Fernandez ambaye tangu pre-season ameonesha amechoka hiyo haitoshi Pedro Neto unamchezesha Left wing wakati ubora wake upo zaidi Right wing wakati kwenye hiyo hiyo nafasi ya left wing una wachezaji ambao ndio nafasi yao Garnacho na Gittens unaenda kutafuta kitu gani?Pia wachezaji wamechoka sana
Premium league
Conference league
FIFA club world cup
huu uchovu unaweza kuchukua muda, naomba tu isifike December
Hayo sasa andio madhaifu bya Maresca bado anatest system tangu msimu uliopita. Ndio shida ya kuwapa wanafunzi kukoschi timu kubwa kama Chelsea, kila wakati anatest mfumo wake kwa kuwapa roles tofauti tofauti wachezajiUna Santos ambaye energy yake kiwanjani ni kubwa na ana offer both offensive na defensive bado unamn'gan'gania Enzo Fernandez ambaye tangu pre-season ameonesha amechoka hiyo haitoshi Pedro Neto unamchezesha Left wing wakati ubora wake upo zaidi Right wing wakati kwenye hiyo hiyo nafasi ya left wing una wachezaji ambao ndio nafasi yao Garnacho na Gittens unaenda kutafuta kitu gani?
Umemuona huyo Aaron Anselmino anachokifanya Dortmund ndio hapo ninashindwa kumuelewa Enzo Maresca kwa mujibu wake yeye akisema baada ya Colwil kuumia "hatuna defender mwenye sifa Kama Colwil ukimtoa Tosin kuendana na mfumo wetu" ukiangalia Aaron Anselmino ndio anahizo sifa ni mzuri kwenye pass fupi na ndefu, position awareness n.k na umeona performance anayoifanya pale Dortmund ndipo unashindwa kwanini kocha hakumuaminiHayo sasa andio madhaifu bya Maresca bado anatest system tangu msimu uliopita. Ndio shida ya kuwapa wanafunzi kukoschi timu kubwa kama Chelsea, kila wakati anatest mfumo wake kwa kuwapa roles tofauti tofauti wachezaji
Sisi mashabiki tunaona yeye haoni
Neto mzuri kulia tu
Estevao ni mzuri kulia s=zaidi na kwenye na. 10
Garnacho ni mzuri kushoto tu
James ni mzuri zaidi kwenye RB au RWB
Andrey Santos ni mzuri kwenye box2box, anadefend na anashambulia hata zaidi ya Enzo, yuko more agressive
George ni mzuri LW anachezeshwa striker
akijua kuwa hatuna mabeki wa kutosha wakamtoa Mamadou Sarr na Aaron Anselmino, hata kama walitolewa mkopo walikuwa na uwezo wa kuwarudisha
Palmer, Fofana na Tosin hawatakuwepo hadi baada ya International bbreka"Tumeamua kumlinda Cole Palmer ili majeraha yake yasiwe makubwa zaidi. Kwahiyo tumeamua kumpumzisha kwa wiki mbili mpaka tatu zijazo labda mpaka mechi za timu za taifa zitakapofika. Mategemeo ni awe sawa kwa 100% kisha arejee uwanjani akiwa yupo sawa kabisa."
"Yote ni lengo la kuangalia namna sahihi juu ya majeraha yake. Kwa idadi ya mechi tulizocheza, majeraha kama hayo yanaweza kutokea hiyo ndiyo sababu tumechukua uamuzi huo."
"Tosin Adarabioyo pia ameumia, atakosekana mpaka mechi za timu za taifa. Wesley Fofana pia aligongana kwenye mechi dhidi ya Lincoln kwahiyo ataikosa mechi ya Brighton. Josh Acheampong amekuwa akiumwa wiki hii na jana ndiyo kwa mara ya kwanza alishiriki mazoezi."
- amesema kocha Enzo Maresca
📌Pia Wesley Fofana anatarajiwa kuzikosa mechi dhidi ya Liverpool na Benfica kutokana na majeraha aliyoyapata
#d1905_updates
Huko ni kujipoza, hali yako tunaijua bhana